kukimbia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Musa wa waislamu alitiwa aibu na Allah kwa kukimbia uchi mbele ya watu na kuanikwa kila kitu ili aache kukejeliwa

    Musa wa kwenye uislamu alikua mwoga mwoga ambaye siku zote alijisitiri mwili wote kwa nguo, hadi Waisraeli wakawa wanamsema kuwa ana ukoma au maradhi fulani ya ngozi, sasa ili mungu wa waislamu aonyeshe kweli jamaa hana matatizo ya ngozi, akasubiri siku moja Musa anaoga, alipomaliza na kwenda...
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

    Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ahmedy Ally: Mechi yetu na Kagera Sugar ndiyo mechi yetu ya mwisho msimu huu

    "Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30 Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya musa,,aliyesema mamlaka iheshimiwe sasa anaikolomea mamlaka iyo iyo iliyomsaidia kukimbia trh 8!

    Kweli waswahili husema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,Hawa Simba wamekuwa kituko cha Karne! Wamekuwa wakipiga debe kuwataka yanga waiheshimu mamlaka lakini Leo hii wanatoa kitamko chao uchwara kuwapiga mkwara bodi ya ligi kuwa awako tiyali kucheza mechi nyingine ikiahirishwa ya trh 15...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Washiriki 1,000 kukimbia Msakuzi Marathon ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Pande

    Mashindano ya kukimbia yanayojulikana kwa jina la Msakuzi Marathon yatafanyika ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Pande uliopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, Julai 12, 2025 ambapo washiriki watapata nafasi ya kuangalia uoto wa asili na kupishana na wanyama ndani ya hifadhi hiyo. Waziri wa...
  7. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

    Habari za muda wana jf. Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadili ana na kubadilishana mawazo. Kwenye platform mbalimbali za mitandao ya kijamii kumekuwa na mabishano makubwa sana miongoni mwa trainers! Na mabishano hayo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  9. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya jana dhidi ya al masry ..Simba waliona mbali kukimbia derby

    Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kukimbia Match ya Derby yashaanza kuonekana

    Habari, Wengi mlifurahia hasa Simba kugomea Ile game ila ukweli kama Simba alikua anaelewa yupo katika michuano Gani? Na anataka Nini? Simba angecheza ila game...Ile Derby mi naamini ndio ilikua kipimo sahihi Cha Simba kuelekea game ya Jana, simba alikua anahitaji game kama Ile ya Derby yenye...
  11. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Nataka nifanye mazoezi ya kukimbia

    Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa...
  13. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu lakini sio kukimbia familia (Damu Yako)

    Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  15. grandMullah23m

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kukimbia kodi 2025

    Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  17. Jackson News

    JamiiForums Tanzania Zinauzwa Bukta Fupi za kiume na wanauke kwa michezo 2-in-1 kwa Ufukweni na Kukimbia

    Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%) Bonyeza na Nunua Sifa kuu: Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada. Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka. Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa. Video hizi zinasambaa sana X...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wa Polybius huenda tatizo kubwa la Afrika ni kujaribu kurukia Demokrasia, kukimbia kabla ya kutambaa

    Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis". Katika nadharia ya...
Back
Top Bottom