kukataliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kamata kamata inayoendelea ni maazimio ya Kina Kinana na viongozi wa CCM baada ya kushindwa siasa za majukwaani; ogopa kukataliwa

    Viongozi wote wa CCM wameamua kurudi na kukaa ofisini baada ya kuona kila wanapopita kutetea DP world mambo yanavurugika. Soon after kusarenda wameshauri turudi kwenye mfumo wa Magufuli; lakini pia pressure ya kisiasa iliyopo Afrika kaskazini na Magharibi inatoa piacha kwamba siasa za...
  2. Half american

    Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

    Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything. Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja...
  3. R

    Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
  4. B

    Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
  5. Hemedy Jr Junior

    Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  6. Mwachiluwi

    Kukataliwa kumenifanya kuepuka UKIMWI

    Habarini Nilitokea kumpenda mdada mmoja mzuri wa sura ana shep mzuri kilima kipo vizuri nilivutiwa nae kwa kweli na vile ana jua kudeka na mimi napenda mwanamke anaejua kudeka basi akawa ananidekea kwenye maongezi ya kawaida na mimi nikatokea kumpenda. Basi katika mzoea hayo tulipeana namba...
  7. saidoo25

    Januari Makamba kukataliwa na Wajumbe 1,463 kati ya 1,915 inatoa taswira gani kisiasa?

    Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais. Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura...
  8. NetMaster

    Msaidizi wa Masanja alijiua kwa kukataliwa ombi baada ya kujaribu kumtongoza mke wa bosi kwenye simu, hii inaingia akilini?

    Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi...
  9. LIKUD

    Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

    Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva...
  10. ERTUGRUL BEY

    Tujifunze Kukataliwa!

    Hakuna kitu kigumu kukipokea kama kukataliwa na Yule unayempenda au unaye tarajia kuwa nae ktk Maisha ya kimapenzi. Tujue Kwanza kukataliwa ni haki ya yule anayetukataa,ana Uhuru na uamuzi wa kufanya hivyo,kwakuwa naye ana vigezo vyake vinavyo mfanya amchague mtu Fulani,kwahiyo tusipokuwa na...
  11. sky soldier

    Maktaba ya ujanani: Mbinu niliyofanikiwa kunasa ma ex wawili bila kukataliwa

    Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical. Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba...
  12. Shark

    Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  13. Kibenje KK

    Nifanye nini niache kukataliwa, nianze kupewa nafasi kazini au kwenye fursa mbalimbali?

    Kama una tatizo katika mwili wako na inahitajika ufanyiwe upasuaji (operation/surgery). Na wakawepo watu wawili, mmoja ni rafiki yako wa karibu unayempenda lakini hana utaalamu wowote juu ya upasuaji na mwili wa binadamu lakini wa pili ni mtaalamu na ana uwezo mkubwa wa upasuaji kutokana na...
  14. Carlos The Jackal

    Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]...
  15. Mmawia

    Kukataliwa na kutupwa kwa parachichi za Tanzania kule Afrika Kusini nini tunajifunza?

    Waziri wa kilimo ameandika kwenye ukurasa wake wa kijamii. Kuwa maparachichi yaliyo enda kuuzwa nchini Afrika ya kusini kutokea Tanzania yamekataliwa na kutupwa kutokana na mapungufu ya ubora unao hitajika ikiwemo kuchumwa yakiwa bado machanga au hayaja komaa vizuri. Je lawama apewe nani kati...
  16. B

    Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

    Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote. Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua. Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri! Kwa matukio mawili haya sasa...
  17. Gily Gru

    Inauma Sana

    Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa...
  18. mocker

    Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1886756/ Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa...
  19. Kipenzi Changu

    Mukoko agomea mazoezi Yanga,baada ya ofa yake kukataliwa

    Hizi ni habari za uhakika,kama hutaki acha sikulazimishi
  20. E

    Hivi ni kwanini Wanawake hamjui kukataliwa?

Back
Top Bottom