KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kukataliwa na Mungu wako.
Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi.
Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha.
Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu.
2. Maisha...
Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti.
Wazee pia hawamkubali.
Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine?
Mmelamba mchanga.
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance).
Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila...
Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored.
Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia.
Kwa kifupi iko hivi ,
Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote.
Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
Watu wakikukataa usichukie au kupanga kisasi, chukulia kama kupewa changamoto ya kupambana. Usiweke vinyongo na ndugu au jamaa waliokukataa au kukudharau na pengine kukataa kuwasaidia huko mbeleni. Hapana, kukataliwa inaweza kukupa faida zaidi wewe kuliko wao, lakini tu kama utaweka jitihada na...
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama KUKATALIWA, hakuna kitu kibaya kama kutokupendwa.
Mungu akaumba dunia. Kisha akaona acha amuumbe...
Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi...
https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.
Amesema...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi...
Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote...
Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema...
Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja.
Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile.
Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.