kukataa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe hii ndo sababu ya yeye kukataa kunitunuku mbususu

    Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila rangi huku wengine mkijaribu kunibebesha mzigo wa kiburi. Nikaamua kuforce kubadilika ili nijichanganye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

    Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU: "There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
  5. JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekataa na nitaendelea kukataa kuchomwa sindano ya kalio na wauguzi wa kike wadogo kiumri

    Sekta ya Afya inabidi ijitafakari sana, ebu fikiria yaani mimi kama mimi baharia Wadiz nichomwe sindano na kabinti kadogo ka nurse umri 20 yrs, hivi hii ni haki hako kamanzi ka hio age kanishike tako, hio hapana, it can't be. I think age has to be customized with service delivery, huyo nurse...
  7. JamiiForums Tanzania GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

    GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba. Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
  8. JamiiForums Tanzania Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  9. JamiiForums Tanzania Samsung A32 5g korean version kukataa network za bongo

    Habari, Nina sumsung A32 5g inaandikwa kt network Ukiweka SIM card ya tigo inaandika Limited service Haikubali kusoma line za bongo Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hauwezi kununua bandari, tutakuwa wajinga kukataa uwekezaji huu

    MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), iliyokuwa ikifanya kazi ya kupakia na kupakua makontena ya mizigo katika Bandari ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

    Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii. Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

    Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-come na emotions huko kwao, sijajua ni super V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga? Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naona wafanyakazi wa bandari na wajanja wenzao wa kupiga Dili, pumzi inskaribi kukataa.

    Wamejaribu kutumia kila kete kunusulu ulaji wao lakini wapi! Mama Yuko strong kwenye uwekezaji Huwa hayumbishwi kabisa. Wamejaribu kumtumi Shivji akahit lkini upepo umeshakata. Wamemtumi slaa naye kaenda na maji. Wamewatumia lisu na viongozi wa dini hasa zile dini kubwa zinazopitisha magendo...
  18. JamiiForums Tanzania Tupige kura kuamua au kukataa serkali kubinafsisha bandari zetu

    Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu, Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la...
  19. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…