Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho.
Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu.
Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa.
Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira.
Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.
2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.
3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.
4. Vyombo vya ulinzi navyo...
Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
Kuna shida za SMS ambazo zinakuja kuchagua huduma zozote ambazo sio hitaji lako.
Kwa wasio waelewa wanaweza kujikuta wanaingia makubariano bila kujua na ili bado TCRA imekaa kimya.
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao...
Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara.
Siku ya tukio, Bi Angara alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na alikuwa akiwakarimu vipande vya...
Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili.
Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.