kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya akamatwa na kukutwa na Tsh. 275M ikazua taharuki. Bongo mtumishi wa umma ananunua assests za 2B na TAKUKURU inamchekea

    Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 International Democracy Union (IDU) imelaani kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA

    Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa taarifa za kukamatwa padri Kitima unaviashilia vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki

    Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki. Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    "Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

    Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo anatakiwa kukamatwa na kuhojiwa kuhusu maneno yake ya uchochoze wa kidini

    Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya kumuita kituoni na kumhoji juu ya kauli zake ambazo amekuwa akizotoa mara kwa mara. Huyu Sheikh amekuwa...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Heche kukamatwa hivi karibuni

    Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma! Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Kukamatwa kwa Tundu Lissu kumeipasha Chadema

    Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu, Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

    Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini. I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent! Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
  14. toriyama

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamepoa sana na wamekata tamaa kabisa baada ya Lissu kukamatwa?

    Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini? Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo. Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RPC Jongo: Msikubali kukamatwa na askari asiye na kitambulisho

    Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 9, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mtu ametapeli na namba yake ipo hewani je? Kuna ugumu gani kukamatwa?

    Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia smart Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi...
Back
Top Bottom