TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa"
Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu.
ACT Wazalendo, tunalalamika...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe
Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo
Mashuhuda wa...
Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi.
Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.
Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa.
Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani.
Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi
Kwa mujibu wa taarifa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi...
Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua ambayo imekosolewa vikali na makundi ya wanahabari na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni shambulio...
Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini.
____________________________
A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo
Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X.
Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro.
Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
"Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.