kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kaimu Mwalimu Mkuu akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro...
  2. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

    Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba. Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
  3. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Rais Duterte wa Ufilipino Akamatwa, kupelekwa ICC

    Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  5. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Merz amwalika Netanyahu Ujerumani licha ya hati ya kukamatwa na ICC

    Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani. Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
  6. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Michael Jordan, akamatwa Florida baada ya kukutwa na dawa za kulevya

    Marcus Jordan, mtoto wa mwanamichezo maarufu wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, amekamatwa Florida kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine. Polisi walimkamata baada ya kugundua gari lake, Lamborghini, limekwama kwenye reli za treni, ambapo...
  10. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    Pichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha namna alivyokuwa akimpenda mkewe. Hata hivyo, kuanzia juzi, habari kuhusu Eric Mandala zimekuwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka dau nono la $25M kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro

    Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism). Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea...
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Vietnam: Mmiliki wa Tovuti ya kusambaza Filamu haramu akamatwa

    Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu. Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi. Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Aweso aagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa mradi wa maji Kwa Msisi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa Mradi wa Maji Kwamsisi, katika kata ya Kwamsisi ili uchunguzi ufanyike kutokana na kuhisiwa vitendo vya ubadhirifu wa fedha zilizokusanywa kutokana na malipo ya wananchi. Waziri Aweso ametoa agizo hilo siku ya Jumatatu Desemba 23...
  15. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua Mkurugenzi wa Bima Marekani akamatwa, agoma kurudishwa alikokimbia

    Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia. Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia. Wakimlazimisha kumzoa kwa...
  18. Full charge

    JamiiForums Tanzania KWANINI RAIA TULIPE GHARAMA ZA MTUHUMIWA KUKAMATWA?

    Wadau habari za muda huu Hili suala la Polisi kutuomba gharama za kumkamata mtuhumiwa kisheria likoje? Kwanini gari la polisi halina mafuta muda wote mpaka pale tu raia atakapoenda kuhitaji huduma itakayohusisha ukamataji unaotakiwa gari ndiyo aombwe pesa za kutia mafuta? Je kodi na faini...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania PKK/YPG wameanza kukamatwa huko Syria

    Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

    Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba...
Back
Top Bottom