kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
  2. JamiiForums Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  3. J

    JamiiForums Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  4. JamiiForums Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  5. JamiiForums Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  6. JamiiForums Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  7. JamiiForums Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

    Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
  8. JamiiForums Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  9. JamiiForums Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  10. M

    JamiiForums Nini faida ya kuremba kwa gharama kubwa makaburi ya wapendwa wetu?

    Kuyaremba ninakomaanisha hapa ni kuyaweka nakshi nakshi za kila aina, Mbwembwe nyingi, kuyapiga Picha na Kuwaringishia Watu Mitandaoni mpaka kutaka hata kuyawekea Taa na AC ndani yake. Na kinachonishangaza na kuniachia Maswali mengi ni pale ninapoona Msiba fulani Kaburi linafanyiwa Mbwembwe...
  11. JamiiForums Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  12. JamiiForums Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

    Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM
  13. JamiiForums Naomba kujua faida wanayopata NBC

    Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao. Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu...
  14. JamiiForums Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  15. JamiiForums Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  16. JamiiForums Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

    .... Uzi ifutwe .... Moderator please delete
  17. JamiiForums Naomba Kujua Jinsi ya Ku-Activate Call Recorder Mode Kwenye Truecaller Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
  18. JamiiForums Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  19. JamiiForums Mwenye kujua au kuwa nayo magunia ya katani

    Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
  20. M

    JamiiForums Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

    Salaam! Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe. Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями? Natanguliza shukran!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…