kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mpinzani wa huyu mwamba kwa Bei chini ya buku sita 6000/=

    Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Twiga Force na inapopatikana

    Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market. Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
  4. JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  6. JamiiForums Tanzania Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri. Natoa mifano kadhaa. 1. Dini. Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI. Maana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kisingizio gani uliweka kwa mwenza wako baada ya kujua umepiga shoo mbovu?

    Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini wapi wala hakutikisika. basi binti alituma sana salamu BJ lakini wapi sijui mizimu ilitaka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  9. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wanamambo meeengi ya kujirudia rudia bila wao kujua

    Wakuu heshima zenu kuna jambo hapa iko hivi. Maisha ya wanawake naona km wao wana mambo mengi wanayofanya kila siku tena mara nyingi zaidi ya wanaume. Namba tatu (3) sina uhakika sana ila wanawake kongole kwao wanachangamsha ulimwengu toka kwa enzi za mzee Adam MAMBO HIZO NI KAMA- 1. kuongea...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
  13. H

    JamiiForums Tanzania Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Tanzania wasiojua kingereza, walifanyaje uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika mashariki waliosailiwa kwa lugha ya kingereza?

    Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  16. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

    Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu. Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Airpods nzuri kwa bei poa

    Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia. Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania wa kawaida, naomba kujua umuhimu wa hizi safari

    Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
  19. JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  20. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…