Alikuwa akinicheka naogopa wanawake lakini alikuja kunikasirikika baada ya kujua nimetoka na mwanamke wake

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
Niaje wakuu

Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa

Kwanza mimi kiasili nina aibu kiasi kitu ambacho kilisababisha nisiwe mchangamfu sana kwa wanawake lakini sio kwamba nilikuwa naogopa kutogoza ila tu nilikuwa naona aibu kuonekena natoka na demu flani, mingo zangu zilikuwa zile za chini chini demu tunakutana vichochoroni tunaongea ,kama ni geto Kuna mwanangu ndio alikuwa anajuwa harakati zangu za mademu (nilikuwa natumia geto lake)

Sasa Kuna jamaa kwenye crew yetu alikuwa ananitania sana kwamba sijui kutogoza mara sijui naogopa wanawake ,sasa Kuna demu fulani kwa kipindi kile ananitania alikuwa ndio pisi yake lakini kitu ambacho alikuwa akijui yule demu nilishapita nae kama mara mbili na mara ya mwisho kumla ilikuwa kipindi jamaa anasubiri jibu(alimtongoza) 😃

Yaani ilikuwa hivi huyo dada nilikutana nae mtoni nilienda kufua (si unajua mambo ya kijijini) nikawa na mtania mwisho nikamtongoza baada ya siku tatu nikapewa mzigo, ikapita wiki moja ndio kipindi sasa jamaa yangu akamtongoza huyo manzi ,mimi sikulijua hilo nikaanza kuomba tena mzigo,ila wakati nampanga mwanangu anipe geto ndio akanichana kwamba jamaa yako amemtongoza huyo demu nikamuuliza Lini akasema juzi nikamuuliza saaa mzee mtoto nishampanga kakubali ,jamaa akaniambia we piga mimi nilikuwa nakutaarifu tu nikasema poa na ikawa poa kweli.

Siku ambayo jamaa anajua ilikuwa tupo zetu mpiirani mida ya saa kumi jioni tunafanya mazoezi ikaanza mada ya mademu, basi jamaa kama kawaida yake akaanza kunikandia (alikuwa kwenye utani) ohh jamaa naogopa kutogoza na maneno mengine kibao , sasa Kuna bro pembeni akasema "sema dogo Mambo yake ya chini chini Kuna siku nilimkuta na Salma mtoni(huyo demu)" mwamba akastuka kidogo , baadae alivyo faya upelelezi wake akaja kigundua nimeshamla yule demu tena kwa mazingira alivyo sikia akaona huyu jamaa kanifanyizia kusudi,

Kijiweni kwetu masela wakaniwekea kikao mimi narudi zangu kutoka misele mida ya saa tatu usiku nikashangaa kijiwe kimepoa baada ya mimi kufika 😅 jamaa uvumilivu ukamshinda akaanza kunichana mwanangu wewe snitch nikumuliza nimefanyaje tena,akaanza kuwaka unajifanya hujui umemla demu wangu nikawa najihidi kujitetea lakini ,masela wote walikuwa upande wa huyo jamaa nikaona isiwe kesi maana nilikuwa mazingira ya home nilikala zangu buyu ,na jamaa ndio akaanzaga kuninunia Hapo .

Hili tukio lilinisaidia sana kunipa amani ya moyo ingawa sikufanya makusudi.pia nikaanza kupewa jina la silent killer na nikawa kama nimeprove Ile kauli kwa watu wapole ni Mal*ya sana.....kwa ufupi hili tukio kwa upande wa kutogoza nilipata heshima yangu na jamaa akazidi kunichukia baada ya watu kuunganisha story kwamba ikaonekana kama nimemtongoza kwa sababu jamaa alikuwa ananitania ,urafiki wetu ulikuja kurudi baadae hadi sasa Bado ni mwanangu sana nikipataga time ya kurudi kijiini tunapiga stori fresh tu

Tukio gani ulilolifnya either kwa kulipanga au kwa bahati mbaya likakupa heshima ambayo ulikwa huipati hapo mwanzo?
 
Sawa domo stafu
JamiiForums-1197895022.jpg
 
Hapo ilikuwa wewe ndiyo umechukuliwa manzi yako sása
Jamaa nisingeweza ku battle nae kwa huyo demu nilikuwa nimepoa kimtindo(upole ulizidi) kuliko jamaa pia nilikuwa na Chaka langu Hapo tamaa tu ilkuwa, na hata jamaa nae alivyopewa akapita hivi ,Ile kunimind aliona tu kama nimeletea dharau si kama alimuelewa
 
Mimi mtaani nilikuwa sionekani na madem wowote na Sina stori nao.

Wana wakajua mwamba mgumu Tena mgumu kweli kweli na Sina shobo ya mabinti.

Mpaka natolewa mifano ya watu wenye tabia njema njema mtaani na ukijumlisha nilikuwa kijana pekee niliyetoboa o-level kwa division Ile ya kwanza aka kipanga.

ila nikaja kuharibu nilipotia mimba madem watatu wa mtaa mmoja
 
60% mada za JamiiForums ngonooooo. Nahamia Stocktwits nikapige hela.
Wewe mwenyewe umezaliwa kwa sababu ya ngono hiyo hiyo unayoichukia

Yaani liwe tendon la ndoa, ngono au kupiga kwa masikhara.

Hivyo huna sababu ya kufanya kuchukia kitu kinacho ongeza viumbe ulimwenguni.
 
Ogopa sana silent killers, yaani unamuona mtu mpole mpaka unajiulizaga na huyu anafanyaga tabia mbaya?
 
Mimi mtaani nilikuwa sionekani na madem wowote na Sina stori nao.

Wana wakajua mwamba mgumu Tena mgumu kweli kweli na Sina shobo ya mabinti.

Mpaka natolewa mifano ya watu wenye tabia njema njema mtaani na ukijumlisha nilikuwa kijana pekee niliyetoboa o-level kwa division Ile ya kwanza aka kipanga.

ila nikaja kuharibu nilipotia mimba madem watatu wa mtaa mmoja
Kweli nimeamini ndege wanaofanana huruka pamoja.

Yaani rikboy ametia like kwako tu kwasababu point yako inaelekea kwenye kula kimasihara
 
Wewe mwenyewe umezaliwa kwa sababu ya ngono hiyo hiyo unayoichukia

Yaani liwe tendon la ndoa, ngono au kupiga kwa masikhara.

Hivyo huna sababu ya kufanya kuchukia kitu kinacho ongeza viumbe ulimwenguni.
Umenifahamu vibaya bro nimekusudia zije nyuzi za maendeleo mimi napenda ngono kuliko hela. Lakini starehe nitaipata wapi bila ya hela??
 
Umenikumbusha miaka 4 nyuma nikiwa chuo, kuna dogo kijijin kwetu alikuwa anasoma mkoa mmoja na mimi, basi wakati likizo yake imeisha, akaandaliwa vifurush kadhaa aniachie bro wake. Dogo tulipishana wakati anafika stendi mie nilikuwa na ratiba za class, so akaacha mzigo ofisini kwa hio gari.

Tukaendelea chat kafikia wapi na shule anaenda lini na story zingine, mwishowe nikatongoza akawa demu wangu, wakati huo sijawahi onana nae kwa sura ila nlibetia sauti yake nzuri nikajua atakuwa mzuri piaa. Life limesonga akiwa skuli ananicheki kiwiziwizi hivo.

Nimerudi home likizo moja, kuna jamaa zangu huwa wananiona mie boya boya kutokana na moves zangu za kimya kimya, sinikawatolea uchovu kuwa namie na manzi ni fulani, jamaa yangu mmoja akashtuka hilo jina mbona kama la demu wake, ikabidi nimuoneshe chatting zetu jamaa akaprove kuwa ni demu wake kweli na ni wa long kitambo wakati huo manzi alinambia hana mtu. Jamaa tukamaindiana kidogoo hili zogo likaisha.

Since then huwa hawajui mie ni mtu wa namna gani kuhusu women
 
Niaje wakuu

Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa

Kwanza mimi kiasili nina aibu kiasi kitu ambacho kilisababisha nisiwe mchangamfu sana kwa wanawake lakini sio kwamba nilikuwa naogopa kutogoza ila tu nilikuwa naona aibu kuonekena natoka na demu flani, mingo zangu zilikuwa zile za chini chini demu tunakutana vichochoroni tunaongea ,kama ni geto Kuna mwanangu ndio alikuwa anajuwa harakati zangu za mademu (nilikuwa natumia geto lake)

Sasa Kuna jamaa kwenye crew yetu alikuwa ananitania sana kwamba sijui kutogoza mara sijui naogopa wanawake ,sasa Kuna demu fulani kwa kipindi kile ananitania alikuwa ndio pisi yake lakini kitu ambacho alikuwa akijui yule demu nilishapita nae kama mara mbili na mara ya mwisho kumla ilikuwa kipindi jamaa anasubiri jibu(alimtongoza) 😃

Yaani ilikuwa hivi huyo dada nilikutana nae mtoni nilienda kufua (si unajua mambo ya kijijini) nikawa na mtania mwisho nikamtongoza baada ya siku tatu nikapewa mzigo, ikapita wiki moja ndio kipindi sasa jamaa yangu akamtongoza huyo manzi ,mimi sikulijua hilo nikaanza kuomba tena mzigo,ila wakati nampanga mwanangu anipe geto ndio akanichana kwamba jamaa yako amemtongoza huyo demu nikamuuliza Lini akasema juzi nikamuuliza saaa mzee mtoto nishampanga kakubali ,jamaa akaniambia we piga mimi nilikuwa nakutaarifu tu nikasema poa na ikawa poa kweli.

Siku ambayo jamaa anajua ilikuwa tupo zetu mpiirani mida ya saa kumi jioni tunafanya mazoezi ikaanza mada ya mademu, basi jamaa kama kawaida yake akaanza kunikandia (alikuwa kwenye utani) ohh jamaa naogopa kutogoza na maneno mengine kibao , sasa Kuna bro pembeni akasema "sema dogo Mambo yake ya chini chini Kuna siku nilimkuta na Salma mtoni(huyo demu)" mwamba akastuka kidogo , baadae alivyo faya upelelezi wake akaja kigundua nimeshamla yule demu tena kwa mazingira alivyo sikia akaona huyu jamaa kanifanyizia kusudi,

Kijiweni kwetu masela wakaniwekea kikao mimi narudi zangu kutoka misele mida ya saa tatu usiku nikashangaa kijiwe kimepoa baada ya mimi kufika 😅 jamaa uvumilivu ukamshinda akaanza kunichana mwanangu wewe snitch nikumuliza nimefanyaje tena,akaanza kuwaka unajifanya hujui umemla demu wangu nikawa najihidi kujitetea lakini ,masela wote walikuwa upande wa huyo jamaa nikaona isiwe kesi maana nilikuwa mazingira ya home nilikala zangu buyu ,na jamaa ndio akaanzaga kuninunia Hapo .

Hili tukio lilinisaidia sana kunipa amani ya moyo ingawa sikufanya makusudi.pia nikaanza kupewa jina la silent killer na nikawa kama nimeprove Ile kauli kwa watu wapole ni Mal*ya sana.....kwa ufupi hili tukio kwa upande wa kutogoza nilipata heshima yangu na jamaa akazidi kunichukia baada ya watu kuunganisha story kwamba ikaonekana kama nimemtongoza kwa sababu jamaa alikuwa ananitania ,urafiki wetu ulikuja kurudi baadae hadi sasa Bado ni mwanangu sana nikipataga time ya kurudi kijiini tunapiga stori fresh tu

Tukio gani ulilolifnya either kwa kulipanga au kwa bahati mbaya likakupa heshima ambayo ulikwa huipati hapo mwanzo?

Huyu naye ni miongoni mwa vijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom