kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

    Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi. Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

    Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia. Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai? LONDON BOY
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kujua mimi ni wapekee

    Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi huchukua muda wangu kujifunza (I take my time to study). Kupitia kudadisi na kutaka kuijua dunia...
  6. JamiiForums Tanzania Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
  7. JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

    Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi? Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
  9. JamiiForums Tanzania Ujinga ni kujua ukweli na kuona ukweli, lakini bado ukaamini uongo!

    Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake. Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Commission za NBC kitengo cha Direct Sales zipoje?

    Habari JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki. Nimeelezwa kuwa malipo yatakuwa kwa mfumo wa commission. Naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu na mfumo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

    Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika.. Turudi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  14. K

    JamiiForums Tanzania Unatumia vigezo gani kujua mpenzi uliyenaye ni sahihi?

    Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  16. JamiiForums Tanzania PFP PSYCHOLOGY: Diagnosis ya picha Cha profile Mtandaoni. Unataka kujua PFP yako inasema Nini kuhusu wewe?! Pitia hapa

    Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii." Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema kujua kingereza ni utumwa

    Niliwahi kusafiri na gari la mizigo kuelekea malawi tulipofika maeneo ya karibu na mzuzu mall Nikapaki gari maana muda ulikuwa umeenda sana tukapaki gari kwenye sheri moja hivi ya puma tukalala pale kesho yake asubuhi Nikatoka kuomba msaada wa kupushiwa gari yetu maana ilikuwa ina changamoto ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

    Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
  19. JamiiForums Tanzania Siku tukijua Kigogo alikua ni nani Tunaweza kujua Mengi. Natafakari Kigogo alikua ni Nani?

    Huyu buana na anaetumia akaunti Gavana Bilah na Kigogo hawa watu wanaweza kujua mambo mengi sana siku tukijua count za hawa watu kuna Mengi wanajua.
  20. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…