Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa ummaafya bado inapewa kipaumbele,
nyongeza, kila mwaka heslb huchapisha makundi ya kozi wanazozipa vipambele
Upo upo mkuuZamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo?
Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa umma