kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo Cha afya Kolandoto

    Habari za jumapili wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nakumbukaga vijana walivyoumia baada ya kujua kuwa shujaa wao mastermind michael scofield ni shoga๐Ÿ˜‚

    Nafikiri hakunaga TV show ya kizungu illioifikia umaarufu kama wa prison break hadi sasa. Watu walimkubali sana scofield, jinsi gani alivyotumia akili yake zaidi ya nguvu katika kujinusuru yeye na wenzake . Baada ya muda kidogo mwaka 2013 tukaja tukasikia jamaa amejitangaza kuwa ni gay, aisee...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Muafrika ana asili ya Ujinga na upumbavu angalia kinachoendelea sasaivi ndani ya CHADEMA

    Ni kwanini nchi za Africa haziendelei Ujinga Upumbavu Ubinafsi CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya, Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunataka Kujua Chuo Kikuu Huria kimefuta Research?

    Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi. Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kimo Cha jiko la gesi lenyew oven

    Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila ukimuuliza kabati tayari anakujibu anashindwa kumalizia ajui vipimo vya iyo gesi oven,nahitaji Ile yenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KWENYE KAZI ZA POLISI MWENYE KUJUA HILI ANISAIDIE

    Hapo nmekwama na sjui lakufanya
  9. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJUA KUHUSU UJENZI PITA HAPA UONE NAMNA TUMEKAMILISHA KAZI ZA WATEJA WETU KUANZIA DESIGN HADI UJENZI +255624004650

    SISI TUNAHUSIKA KATIKA DESIGN NA UJENZI MAKINI SANA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetuโ€”iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
  11. JamiiForums Tanzania Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  12. JamiiForums Tanzania Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi??? Nipo kariakooo pale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

    Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife. Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  15. JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  16. JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta shambaboy mwenye kujua na maua pia na ufugaji

    Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane... ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hutazama mieleka licha kujua ni mchezo bandia?

    Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ