Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika.
Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia?
#ElimikaWikiendi
Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira.
Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
Kuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka.
Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo...
Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili.
Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani kuja kuendesha bodaboda then huyo MTU akakupinga nakutamani urudi ukimbizini basi usiumize kichwa...
Kuna wakati dhana nzima ya Nchi kuwa Huru inachanganya sana.
Hivi Watanzania tulidai Uhuru tukiwa na malengo gani hasa mahsusi.
Chukulia mfano wa Tundu Lisu na Lema hawa ni Viongozi wakubwa wa Chadema lakini familia zao zinaishi Marekani na Canada.
Hata CCM ina Watu wengi wa namna hiyo mfano...
Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi).
Vya kale...
Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012..
pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
Habari za muda wakuu jana niliomba ushauri kuhusu kuhama kwa kaka yangu.
Kiukweli najilaumu sana kuchelewa kuanza maisha kwa sababu ya kusubili ahadi za ndugu toka nikiwa na miaka 23 nimekuwa nikiahidiwa msaada na mbaya zaidi mimi ndio nilikuwa nipo nyumbani na mama huko mkoani, Nimekuwa pale...
Njia nzuri ya kumlinda mtoto ni kumkomaza ajue kukabiliana na maisha pale atapoanza kujitegemea ama ukitoweka kwa kifo na ulinzi wako kwake ukawa haupo tena.
Sina maana ya kusema mtoto umlee maisha magumu tu, NO! Njia sahihi ni kumlea kivugu vugu, raha azijue na shida nazo ajue namna ya...
Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa.
Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
Kunyonga wahujumu uchumi ni nyenzo muhimu sana ya uchumi wa kujitegemea. Hakuna mtu wala taasisi inayotakiwa kuwa juu ya sheria, kila mtu lazima aitumikie sheria.
Huko tunakoelekea hakutakuwa na misaada isiyokuwa na madhara kwetu maana kila nchi itakuwa inalalamikiwa na raia wake kuhusu hali za...
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao.
Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
Kwanza tukubaliane kwamba ili Tanzania isonge mbele na iweze kujitegemea inamuhitaji kila Mtanzania kuwajibika kwenye nafasi aliyopo huku serikali ikiwa ndio injini inayoaminika kusukuma sehemu zote kwa uaminifu kabisa na ufanisi mkubwa.
NDIO! Tanzania inaweza kuwa kinara wa maendeleo Afrika na...
MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI
Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya hiyo mifumo ya kielimu.
1)MITAALA ,mitaala ya kuendeshea elimu haipo kwa ajili ya kuandaa mhitimu...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo.
Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths?
Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
SHAKA HAMDU SHAKA: CHAMA CHA MAPINDUZI KINAJIAMINI NA KUJITEGEMEA KIFIKRA.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uwezo wa viongozi na makada wa chama hicho unatokana na utayari, uthubutu na kuujua umma unataka nini, kwa wakati upi na namna ya kutimiza mahitaji husika kulingana na changamoto...
Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:-
Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second term in office, it seemed people were becoming more demanding and less willing to help themselves...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.