kujitegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  2. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  3. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujitegemea kwa nafasi za ajira zinazopatikana kutokea kwa watumishi waliostaafu na waliofariki

    KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI. Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne hii hasa miaka ya hivi karibuni ndoto hii imekuwa ikitimia kwa wachache miongoni mwa wengi. Hali...
  5. X

    JamiiForums Tanzania "Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88

    'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation. Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
  7. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwajenge vijana wa elimu ya juu kujitegemea zaidi kwa kuanzisha kozi za ufundi stadi na ujasiliamali vyuoni

    Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi. Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
  8. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Inawezekana Tukawa Taifa Lenye Kujitegemea miaka 30 ijayo

    Leo nitachangia kidogo sana kupitia mpango wa maendeleo ambao watu wengi wanaweza kuuona kuwa ni wa ajabu sana. Nianze kwa kuuliza swali, inatufaidia nini kuwa na mbuga nyingi zinazoingiza kidogo sana kwenye pato la taifa ikiwa watu wake wana shida ya maji, afya na barabara huko vijijini...
  9. Codehood

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  10. Good doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Graduate wengi kumaliza chuo hawezi kujitegemea. Nashauri wasipewe vyeti hadi kuwe na ushahidi wa kujitegemea

    Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini traffic wengi ustaafu wakiwa maskini na wasioweza kujitegemea?

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wafungwa waliomaliza kutumikia vifungo vyao kutumia ujuzi waliupata Gerezani kujitegemea

    Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

    Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala. Tofauti ya...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kumnyima mtoto kazi za nyumbani ni kumbomoa! Atapata shida kujitegemea na kuishi kwenye jamii, Baadhi ya wazazi wenye Pesa acheni huu umbumbumbu

    kisingizio cha wazazi hawa huwa “Sitaki mtoto wangu apitie Maisha magumu niliyopitia”, ni kweli huenda mzazi ulikuwa unanyanyaswa utotoni kwa kufanyishwa shughuli zaidi ya uwezo wako lakini sio sababu ya kumnyima mtoto wake shughuli za kufanya. Mzazi unaweza kuweka elimu iwe kipaumbele kwa...
  18. FANALEKI

    JamiiForums Tanzania Tutandelea siku tukiweza kuwa sisi, kifkra, uvumbuzi kujitegemea kwa kila kotu

    Habari..? Majuzi majuma kadhaa yaliyipita Raisi Samia alilalamikia kitendo cha nchi kama Thailand kutuacha kimaendeleo wakati uhuri tulipata wakati unaokaribiana. Yes, tumjibu raisi wetu kuwa akianza kuibomoa CCM na kuweka katiba mpya itakua tumeweza kusogea hatua ya kwanza. Hili taifa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumjengea mtoto tabia ya kujitegemea mapema

    Na C-Sema Wakati mwingine, wazazi na walezi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu. Tunajiuliza: Watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara? Lakini kimsingi, sisi wazazi na walezi ndiyo watu pekee wenye jukumu la...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

    Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu...
Back
Top Bottom