kujikwamua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kang

    Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  2. Lanlady

    Wezi huwa wanafikiria nini kabla hawajaamua kuwaibia masikini wanaopambana kujikwamua na hali duni?

    Unaweza kujiuliza hili swali kama mimi na huenda usipate majibu yake. Fikiria mtu upo unapambana ujikwamue kutoka kwenye umasikini, unafuga kuku, mbuzi; unajenga kabanda kako ka kujistiri na mvua, cha ajabu kuna mtu mwingine anawaza kuja kukuibia hata hicho kidogo ulichonacho! Mwizi ni mwizi...
  3. jemsic

    SoC03 Umefika wakati wa kujikwamua kutoka kwenye misaada isiyoheshima

    Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia misaada zinayopewa kwani misaada mara zote hudumaza. Tukitathmini kwa makini tutagundua hata katika nchi...
  4. Heart Wood.

    Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  5. S

    Harakati za kijana na kujikwamua

    Maisha ni story tamu na chungu, nakumbuka nyuma huko tunapiga story na washkaji kwamba miaka flani mbele tutakua na familia, furaha, kazi/biashara na vyote vizuri. Salalee sasaivi tunaemea pakuche kesho itakua kheri, si kama hatukusoma wala si kwamba hatujaweka bidii kwenye kutafuta ila bwana...
  6. MINESOPOTAMIA

    Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  7. Gavinci

    Je, nawezaje kujikwamua kwa Vifaa hivi na kiasi cha pesa?

    Habari zenu wakuu, Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata muongozo. Hapa nilipo nina freezer boss lita150, nina kabati la vioo yale ya chips saiz ya kati, nina...
  8. plan z

    SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  9. F

    SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  10. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  11. K

    SoC02 Betting ni njia sahihi ya kujikwamua kiuchumi?

    Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka, Picha: Watanzania wakiwa katika moja ya kampuni la michezo ya kubahatisha (Benjamin Fernandez 2017) Lakini swali la...
  12. Sky Eclat

    Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  13. The Sheriff

    Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  14. Saoka

    Naombeni usahauri nifanye nini kujikwamua kimaisha, najihisi kuwa kero kwa wazazi

    Habari ndugu zangu wa huku wakubwa kwa wadogo, kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25, pia nimuhitimu wa chuo kikuu fulani fani ni usimamizi na uongozi(Public administration and Management) Diploma (2019) pamoja na Computer Application. Nimekuja...
  15. Gemini Are Forever

    Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

    Shalom, Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu. Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara...
Back
Top Bottom