Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako.

Fanya backup!
Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote.

Tahadhari na factory reset!
Factory reset inafuta kila kitu kwenye simu.
Pia inaweza kuhitaji gmail Account password, pin au pattern, kuonlock hiyo simu baada kuafanya reset, kama ulinunua simu kusikoeleweka kunaweza kukawa na gmail Account usiyoijua, kuzitoa hizi ni mtihani mwingine kabisa, so kabla ya kufanya reset hakikisha unafanya backup na unajua pin/pattern/password zote.

Humu hatutajadili mbinu za kulazimisha WhatsApp feki, Meta washacharuka kulazimisha feki ni kujitafutia matatizo.
 
Soma ushauri kuhusu reset post ya kwanza!

Fanya phone factory reset au tumia simu mpya, kama unajua kuondoa kabisa hizo WhatsApp feki pamoja na folder zote za data hii pia itatosha.

Chukua line mpya ambayo haina WhatsApp na haijapigwa ban

Sajili line hiyo kama Account mpya ya WhatsApp.

Ukishaingia WhatsApp nenda kwenye Settings-> Account -> Add Account.

Add Account yako ya zamani iliyopigwa ban.

Futa Account mpya.
Done.
 
IMG_20240322_211414_1.jpg

Mkuu hivi kama mimi hapo ni ban inanisubiri au naweza safely kurudi official WhatsApp.
 
Fuata ushauri wa backup post ya kwanza!

Hii ni kwa wale ambao wanashindwa kuinstall official WhatsApp kabisa kutoka Google Play baada ya kufuta feki.

Hili tatizo linatokana na ile feki kuacha baadhi ya files kwenye system zinazoingiliana na official hata baada ya kufanya uninstall.

Install feki ile ile uliyokuwa unatumia, usifungue App! Nenda settings kwenye simu yako tafuta Apps, tofuta hiyo feki, nenda Storage -> Clear Data, kisha uninstall hiyo feki, ikikuuliza kama unataka kufuta data za hiyo app pia kubali kufuta.

Jaribu kuinstall official.

Kama bado inakataa download app ya SD maid fanya scan uone kama ile feki imeacha uchafu wowote kisha futa.

Jaribu official sasa.
 
nashangaa sana mtu analalamika kala ban ya whatsapp ni ushamba tu unawasumbuaga kesi nyingi utaskia nilikua natumia gb wahtsapp mara sjui uchafu gani.... ukijiuliza anafaidi nini unakuta havina msingi kwenye maisha yake.... mara aone status zilizofutwa mara asionekane online yaani kaushamba fulani tu.....

punguzeni ushamba alafu mwanaume kutumia hizi whatsapp fake ni ushoga nyemelezi soon unapoteza mareeeendeeeeerr
 
Ushamba unakusumbua!
 
Uko sahihi sanaa 10000000%
 
Kuna cm zinaitwa oppo kupigwa ban ni kawaida kabsa sijui ni cm kua fake au ni kitu gana?
 
nashangaa sana mtu analalamika kala ban ya whatsapp ni ushamba tu unawasumbuaga kesi nyingi utaskia nilikua natumia gb wahtsapp mara sjui uchafu gani.... ukijiuliza anafaidi nini unakuta havina msingi kwenye maisha yake.... mara aone status zilizofutwa mara asionekane online yaani kaushamba fulani tu.....

punguzeni ushamba alafu mwanaume kutumia hizi whatsapp fake ni ushoga nyemelezi soon unapoteza mareeeendeeeeerr
iPhone hatuna hup upuuzi kabisa.unakuta unaheshiama na mtu vizur tuu afu anatumia GB WHATSAPP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom