kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuacha Tabia usiyoipenda na kujenga tabia unayoitaka

    Je umewahi kutamani kuacha au kupenda kuwa na tabia zifuatazo? Unachukia sana kunywa pombe lakini hujui jinsi ya kuacha kunywa pombe Unachukia sana tabia ya kuvuta sigara lakini hujui utaachaje Unataka uwe msomaji wa vitabu lakini unashindwa unaona uvivu kila unapojaribu Hupendi somo flani...
  2. Shoctopus

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunataka kujenga uchumi tupunguze bei ya vifaa vya ujenzi

    Asalam-aleikoum Wana-JF, Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu wanalia kila kona ni maumivu. Hoja yangu ni kwamba badala ya tozo hizi mpya ambazo ni kuongeza...
  3. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo 3 vya michezo

    Hii ni mpya. Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3. Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa michezo kwenye chuo cha michezo Malya kitakachoghadia kiasi cha 1.5 bln. Binafsi sina tatizo na vituo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

    Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa WEDNESDAY AUGUST 04 2021 Summary Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 500 zinazotangazwa na Wabunge kwamba zimetolewa na Rais mnazielewa?

    Hizi fedha zinajenga barababara ukubwa gani? Kwanini fedha hizi kwa idadi ya majimbo tuliyonayo zingekabidhiwa TARURA ZIKAJENGA barabara kwa kuzingatia kipaumbele Cha Tarura kuliko kutawanya fedha kwenye kukwangua barabara ambayo mvua ikinyesha mara moja zinarudia Hali ileile. Hizi fedha...
  7. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

    Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe. Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa...
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

    Rais Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi. Kuna vitu wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo. Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, halafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo. Hapa Rais Samia...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  10. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
  11. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania CCM tuseme wazi kuwa tunaogopa katiba mpya, tuche visingizio vya kujenga uchumi kwanza

    Hii habari ya kusema eti kipaumbele ni kujenga uchumi kwanza wakati Magufuli pia alisema hivyo hivyo matokeo yake miaka mitano ikapita hajafanya lolote. Tusiwadanganye wananchi na wala tusitafute huruma yao, ni uchu wetu wa madaraka tu hakuna kiingine. Mnahisi na mnaufahamu udhaifu wa chama...
  12. Rujeje

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Wakuu poleni na majukumu Naomba kuhuliza kwa budget ya milioni 15 naweza kujenga nyumba kama hii?? ukitoa gharama ya kiwanja
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  14. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi walazimisha Raia kujenga Daraja

    Daraja la Mpiji Kidimu ambalo limefadhiliwa na JWTZ ni la msaada Sana kwa wakazi wa eneo Hilo. Kumekuwa na ukarabati wa Daraja Hilo kwa zaidi ya Mwezi mmoja Sasa. Ila tangu wiki iliyopita wanajeshi wanaojenga Daraja Hilo wamekuwa wakiwalazimisha wakazi wapitao darajani hapo kufanya shughuli za...
  16. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujenga imani kwa wateja wako?

    JENGA IMANI/UAMINIFU. Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana. Mifumo hii imeongeza mauzo, na kukuza biashara nyingi, na nguzo kubwa ya mafanikio kwenye majukwaa (platforms) hizi ni...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nchi hii shule za A level ni chache sana. Kuwe na kampeni ya kujenga shule hizo

    Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level zinawanafunzi wa Olevel pia, hivyo siyo kuwa shule yote inatumika kufundisha A level. Kwa data hizo...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  19. safuher

    JamiiForums Tanzania Mifumo imara bila watu waadilifu sio suluhisho, jenga watu kwanza

    Mifumo imara inategemea watu waadilifu ili waifuate mifumo hiyo. Unapokuwa na mifupo imara bila watu waadilifu mifumo itaharibiwa na hakuna atakayeweza kuwajibisha. Ipo mifupo imara katika baadhi ya mambo lakini haifuatwi na mifumo hiyo ilhali ipo. Tatizo la kutokufuata mifumo hiyo ni watu...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanzia Mwanza Kujenga Hekalu letu: Tayari kamaliza msingi, kuta na linta, bado kuezeka

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70) Tangu serikali ya wamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ilipoanza kazi nimekuwa najiuliza...
Back
Top Bottom