kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  4. O

    JamiiForums Kenya Jamia Mosque yafungua milango kwa wasiokuwa Waislamu katika kampeni ya kujenga uelewano

    Zaidi ya watu 700, wengi wao wakiwa Wakenya wasiokuwa Waislamu, walitembelea Jamia Mosque Nairobi katika Open Day iliyolenga kuwapa wananchi nafasi ya kujifunza kuhusu Uislamu moja kwa moja kutoka kwa viongozi wa dini, badala ya kutegemea taarifa zinazoweza kupotosha kutoka mitandao ya kijamii...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na Umasikini Wetu, Kamwe Tusikubali Kuwanyenyekea Matajiri Wanaotunyanyasha kwa Jeuri ya Pesa Zao!, Ili Kujenga Heshima, Tuwe Masikini Jeuri?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
  6. B

    JamiiForums Tanzania TRAMEPRO: Vijana watumie teknolojia kujenga mustakabali wa Taifa

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka vijana kutumia ubunifu, sayansi na teknolojia kama nyenzo za kujenga uchumi, kuzalisha ajira na kulinda mazingira, likisisitiza kuwa wao ndiyo nguvu ya mabadiliko ya sasa na si viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania 🏠 UNAJENGA? USIANZE KUJENGA KWA KUBAHATISHA!

    🏠 UNAJENGA? USIANZE KUJENGA KWA KUBAHATISHA! Kuanzia sasa nimeanzisha UJENZI NA RAMANI β€” WhatsApp Membership, kwa mtu yeyote anayejenga au anayepanga kujenga nyumba yake. πŸ’° Tsh 2,000 TU KWA MWEZI Ukiwa MEMBER unapata: 🏠 SITE PLAN β€” BURE πŸ“ VIPIMO VYA RAMANI β€” BURE πŸ”„ MAREKEBISHO YA RAMANI...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: β€’ kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  13. JamiiForums Tanzania HERE WE GO: Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika (TPDC) na (UNOC), zimefikia makubaliano ya kujenga Refinery Tanga?

    Kampuni ya Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Uganda National Oil Company (UNOC), zimeingia makubaliano ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) jijini Tanga wenye thamani ya takribani Dola za Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.πŸ”₯πŸ”₯ Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Ethiopia ikijipanga kujenga mabwawa mengine ya umeme mto Nile, Egypt imeanza kutapatapa kwa Kutishia Haitaruhusu ujenzi mwingine

    My Take Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake. ------------ Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile. Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukuta mafundi ujenzi hawana vifaa vya usalama Kariakoo ni kawaida, wengine wanapanda ghorofani kujenga wakiwa na yeboyebo

    Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida. Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  19. JamiiForums Tanzania Kujenga maisha nayoyatamani

    Leo nimeamua kuanza kuandika mawazo yangu kuhusu safari ya kujenga maisha ninayotamani. Sina uhakika nitafika mbali kiasi gani, lakini najua jambo moja: miaka ijayo nataka niweze kurudi hapa na kuona nilikotoka. Ninajifunza biashara, teknolojia, kilimo na namna ya kujenga vyanzo vya mapato...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…