Ya kwetu ita hitaji $30 BillionWachina wameweza kujenga Kitonga yao, Yaxi Highway ambayo ni km 240 kwa miaka mitano kwa $billion 3 tu sisi tunashindwa kujenga Kitonga yetu ambayo ni km 10 tu!
View attachment 3691366
Tuwauzie wazanzibar iwe ya kwao!Kwani kitonga iko zanzibar?
CM 1774858 (Kafulila) tunashindwaje kujenga viaduct moja matata sana hapo Kitonga kwa PPP halafu tunasema tunaelekea uchumi wa $Trillioni 1 miaka 25 ijayo😁?Akili zenyewe za akina Makala, Chalamila, Mwashambwa, sahau
Kitonga - IringaCM 1774858 (Kafulila) tunashindwaje kujenga viaduct moja matata sana hapo Kitonga kwa PPP halafu tunasema tunaelekea uchumi wa $Trillioni 1 miaka 25 ijayo😁?
Kama tutaendelea kuwa na aina ya viongozi tulio nao inaweza kuchukua miaka 100 kuja kupata madaraja hayo maeneo 😁Kitonga - Iringa
Nyang'oro - Iringa
Lushoto - Tanga
Chamanyama - Morogoro
Nyantuli - Katavi
Lukumburu - Ruvuma
Mlimanyoka - Mbeya
WAZO LA KUFANYIA KAZI 👊Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba ukuta na police wa pikipiki.
View attachment 3691364
View attachment 3691365
Na Nyololo Iringa pia.Na Lushoto Tanga ijengwe highway