Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza
Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
Kuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama majadiliano yataisha kwa amani
Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi.
WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia wenu? Watu wanataka tubadilike tuwe serious, sio kuhama nchi
Nadhani sasahivi mnaona dunia...
Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta.
Kwa...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za kisheria.
Mtuhumiwa huyo amekamatwa Aprili 22, 2026 kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wa mahandaki...
Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako.
Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha kutoka kwao.
Kama kijana kitu cha kwanza badili mtazamo juu ya maisha yako,
unataka kujenga kitu gani...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri...
Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
JE,INAWEZEKANA KUJENGA UTAJIRI WA VIZAZI KWA MSHAHARA WA SERIKALI?.
Ndiyo! Inawezekana kabisa. Hapa, tunaamini kujenga utajiri hakutegemei pekee ukubwa wa mshahara unaoingiza mwisho wa mwezi,bali nidhamu yako ya kifedha, mipango ya muda mrefu na mkakati thabiti wa kuwekeza.
Hebu tuangalie...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana.
Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
Anonymous (c723)
Thread
bandari
bandari kavu
buza
kujenga
makazi
makazi ya watu
mamlaka
mwanagati
tabia
Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000.
Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa.
Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.