Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,094
- 20,259
Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR iliyojengwa Kenya ni ya hovyo na imejengwa kwa gharama kubwa kuliko uhalisia.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR iliyojengwa Kenya ni ya hovyo na imejengwa kwa gharama kubwa kuliko uhalisia.