Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,913
Reaction score
16,240
Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri
Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba nzuri za kuridhisha.
Sio lazima ziwe mansions kama za Mbweni lakini zinakuwa nzuri, sio lazima ziwe ghorofa ila zinakuwa standard, shida moja tu unakuta bado mpangilio sio mzuri

Ndio maana huwa natamani maeneo ya uswazi yangebomolewa yote na kujengwa apartments badala yake halafu maeneo mengine wawe wanapima viwanja waache Watanzania wajenge nyumba nzuri maana sikuhizi wanaojenga nyumba kama za uswazi ni wachache sana

Leo nimeenda Iwambi na Maziwa, hii mitaa yote miwili ipo ndani ya kata ya Iyunga na ni miongoni mwa mitaa mipya inayojengwa kwa kasi hapa Mbeya. Ukiangalia nyumba zinazojengwa ni standard

Mfano angalia baadhi za nyumba nilizopiga picha leo, nyingi zipo vizuri na nyingine bado zinajengwa.
Ili kupata picha ya karibu picha nyingi nimepiga kwa kuzoom 2×
PXL_20260303_080505748.MP.jpg
PXL_20260303_080539857.MP.jpg
PXL_20260303_080715141.jpg
PXL_20260303_080807428.MP.jpg
PXL_20260303_080927836.jpg
PXL_20260303_081001382.jpg
PXL_20260303_081039420.jpg
PXL_20260303_081246846.jpg
PXL_20260303_081311702.MP.jpg
PXL_20260303_081404928.jpg
PXL_20260303_081422183.jpg
PXL_20260303_081509732.jpg
PXL_20260303_081540889.jpg
PXL_20260303_081811582.jpg
PXL_20260303_081844211.jpg
PXL_20260303_081956842.jpg
PXL_20260303_082612086.jpg
PXL_20260303_082614524.jpg
PXL_20260303_082702621.jpg
PXL_20260303_082752256.MP.jpg
PXL_20260303_083158505.jpg
PXL_20260303_083426476.jpg
PXL_20260303_083521584.jpg
PXL_20260303_083448686.jpg
PXL_20260303_083546787.jpg
PXL_20260303_083719382.jpg
PXL_20260303_083825483.jpg
PXL_20260303_083858055.jpg
PXL_20260303_083915358.MP.jpg
PXL_20260303_084013057.jpg
PXL_20260303_084014668.jpg
PXL_20260303_084116911.jpg
PXL_20260303_084215310.jpg
PXL_20260303_084544111.jpg
PXL_20260303_084621977.jpg
PXL_20260303_084648669.jpg
PXL_20260303_084658625.jpg
PXL_20260303_084827591.MP.jpg
PXL_20260303_084853202.jpg
PXL_20260303_085043526.jpg
PXL_20260303_085053619.jpg
PXL_20260303_085143852.jpg
PXL_20260303_085231639.jpg
PXL_20260303_085252692.MP.jpg
PXL_20260303_085339114.MP.jpg
PXL_20260303_085345733.jpg
PXL_20260303_085411675.jpg
PXL_20260303_085426083.jpg
PXL_20260303_085536339.jpg
PXL_20260303_085558258.jpg
PXL_20260303_085646938.jpg
PXL_20260303_085710481.jpg
PXL_20260303_085755657.jpg
PXL_20260303_085757049.jpg
 
Hii nimeona kenya nyumba nnje ni za kawaida ila ndani kuna kila kitu cha kisasa , Tanzania nyumba nnje ni nzuri kuliko ndani

Na sinujui nan katuaminisha nyumba nzuri ni kuwa na paa refu juu zaidi hata ya ukuta🤔
 
Hii nimeona kenya nyumba nnje ni za kawaida ila ndani kuna kila kitu cha kisasa , Tanzania nyumba nnje ni nzuri kuliko ndani

Na sinujui nan katuaminisha nyumba nzuri ni kuwa na paa refu juu zaidi hata ya ukuta🤔
Kuweka paa refu ni style tu ya ujenzi, haifuti ubora wa nyumba.
Pia hata Tanzania nyumba nyingi tu ndani ni nzuri
 
Tatizo bongo hakuna sheria za ujenzi, kungekuwa na regulation kila sehem kungekuwa ma majengo bora
 
Back
Top Bottom