kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  2. JamiiForums Tanzania Najisikia huru zaidi kuitwa Mtanganyika badala ya Mtanzania

    Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika. Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba. Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria ustawi. Unajua maneno yanaumba? Ni kipindi gani nchi ilikuwa na ustawi, ilipokuwa ikiitwa Tanganyika...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari. Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba. Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea...
  5. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  6. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini waliofanya usaili 26/11/2022 hadi 04/10/2023

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-11-2022 na tarehe 04-10-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya...
  7. JamiiForums Tanzania Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  8. JamiiForums Tanzania Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

    Katibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA) iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma siku chache zilizopita haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2023 hadi tarehe 2 Novemba,2023.
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  11. JamiiForums Tanzania Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Cut off point ya GPA Utumishi ya kuitwa kwenye interview ni ngapi?

    Habari wanajamvi, Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi za academicians)
  13. JamiiForums Tanzania Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

    Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani? Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini Utumishi

  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya twitter kuitwa X, imepoteza mvuto

    Toka Ellon Musk abadilishe mtandao wa twitter na kuuita X umepoteza mvuto kabisa. Hapo mwanzo niliipenda sana twitter ila sasa acha niachane nayo. Muda mwingi notifications za twitter zinakuja nakuta icons 'X' zimekuwa nyingi kwenye notifications bar. Mwanzo tulikuwa tunakuta icon ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

    Ndugu zangu watanzania, Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atamka tena kwenye Baraza la Eid kuwa DP-World wamepewa Bandari kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

    Hivi kwanini wazanzibari wanaprefer kuwa part of waarabu….hivi kweli wakijiangalia kwenye kioo wanajiona ni waarabu? Wanzibar hukataa asili zao za Congo Mashariki, Burundi, Kigoma, n.k. wanaukataa Uafrika na kujiita waarabu wakati hata waarabu wenyewe huwabagua huko uarabuni na hata hapa kwetu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

    Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu Tanzania. Kwa kulitambua hilo, serikali imeona ni vyema kuialika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…