kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani wanastahili kuitwa "Waheshimiwa"?

    Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande! Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

    Unatembea zako ghafla unaitwa, Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke. Mwisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

    Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko. Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa. Mind...
  4. JamiiForums Tanzania Badhi ya wanyarwanda, hawana wadhifa wa kuitwa wanyarwanda au kuhudumiwa kama wenzao

    Minisitiri ushinzwe ibikorwa by’ubutabazi, Maj Gen (Rtd) Albert Murasira, yasobanuye ko impunzi zirindwi Ishami ry’Umuryango w’Abibumbye rishinzwe Impunzi (UNHCR) rishinja u Rwanda kwanga kwakira, n’ibindi bihugu byanze kuzakira bitewe n’imiziro zifite. Waziri wa maafa, Meja Jeneral mstaafu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nimependa Machawa Wote Kuitwa "Wabeba Usaha"

    Usaha ni uchafu, usaha unanuka, usaha unaumiza na kuleta maradhi mengi, usaha unasambaa mwilini pindi husipotibiwa na kibaya usaha unaweza kukuua na kukumaliza kabisa. Dawa ya kwanza ya usaha ni kuutoa, kuukamua (Curratage and Dilatation) ndipo unaendelea na antiobitics, kutumia antibiotics...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii wa kike kwa sasa mwenye sauti tamu kuzidi ya haka ka kuitwa Yammy?

    Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
  8. JamiiForums Tanzania Kila kukicha nakosa amani ya kuitwa binadamu najuta kuwa na watoto

    Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke usikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya

    Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya. Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :- 1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

    Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania What are the Key Features of Democracy? Je, Tanzania tunazo sifa za kuitwa nchi ya kidemokrasia?

    What are the Key Features of Democracy? Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameitwa kwenye interview shirika la Posta(Tanzania postal corporation)

    Habari zenu wakuu? Shirika la posta lilitangaza nafasi za kazi mwaka huu. Naomba kuuliza majina kama yameshatoka au kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili, binafsi sijapigiwa sina sijapata mrejesho wowote tangu nimetuma maombi. Nawasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake mnakubali vipi kuitwa ombaomba, kausha damu uwo ni unyonge kataa unyonge

    Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
  15. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Moja ya kiashiria cha utapeli wa Kimtandao ni kuitwa WhatsApp

    Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%. Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa South Afrika iliitwa Azania

    Azania (Kigiriki cha Kale: Ἀζανία) ni jina ambalo limetumika kwa sehemu mbalimbali za Afrika ya kusini-mashariki ya tropiki .Katika kipindi cha Warumi na pengine hapo awali, jina la juu limekisiwa kuwa lilirejelea sehemu ya pwani ya Kusini-mashariki mwa Afrika inayoenea kutoka kusini mwa Somalia...
  17. JamiiForums Tanzania Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

    Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu. Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu. Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  19. JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  20. JamiiForums Tanzania Najisikia huru zaidi kuitwa Mtanganyika badala ya Mtanzania

    Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika. Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba. Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria ustawi. Unajua maneno yanaumba? Ni kipindi gani nchi ilikuwa na ustawi, ilipokuwa ikiitwa Tanganyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…