kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wadada na style ya kujiuza na kujisponsa haiwezi kuisha kama mama zao wapo tayari kupokea pesa kutoka kwa wanao wanazopata kwa kujiuza na kwa masponsa

    Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuishi bila yeye nimeshindwa

    Wakuu Bado naendelea na maombolezi ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija kimodoo, maymivu ni makali sana nayopitia kuhusu huyu mwanamke siamini ,mpaka saivi hata kazini Leo Mchina amenipa likizo siku mbili nipumzike, nimeshindwa kufanya kazi natetemeka,homa Kali sababu ya mapenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unaweza vipi kuishi sehemu ambayo wenyeji wanawapiga vita wageni?

    Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi au kubomoa inauzwa Mbezi njia ya Goba

    Habari maboss Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Sqm 300 Docoment serikali ya mtaa Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika. Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi siku AI ikajikomboa na kuanza kuishi kwa maamuzi yake wala bila kuzibitiwa ni nini kitatokea?

    Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI. kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
  8. JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Ipo hivi... Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu...
  9. JamiiForums Tanzania HOJA Jebra Kambole: Kufanya Kuishi Kuwa Kosa la Jinai: Gharama ya Kibinadamu ya Operesheni ya Kinondoni Dhidi ya Uombaji

    ANDIKO LA Jebra Kambole Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  11. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  12. JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  13. JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi kufahamu kuwa kuna samaki anaweza kuishi miaka hadi 500?

    The Greenland shark can live over 400 years. It was swimming before Shakespeare was born.
  15. JamiiForums Tanzania Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

    Ukifa hutatamani tena kuishi duniani. Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea. Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa. Ni hayo tu!
  16. JamiiForums Tanzania Ibara 14 ya katiba inampa kila mtu kuishi iweje watu wachache ndani ya nchi wanaivunja katiba...

    Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba . Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba . Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto Kingine niliamini mwanamke akianza...
  19. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  20. JamiiForums Tanzania Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…