kuisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imebaki miaka 18 mafuta kuisha United Arab Emirates

    Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao. Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato. Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na...
  2. Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

    Mimi napenda kumwambia Intelligent businessman aoe mke wapili ache michepuko ili tumuone next year, pili na mwambia National Anthem aoe usingle 2024 hautajiki au tunakuuza ukawe mtumwa huko kwa waarabu , Lovelovie I miss you umepotea jamani babe wangu,Joannah my dear upo?? Pridah outing mama...
  3. A

    Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  4. Prof. Mbarawa umejiandaa baada ya uwaziri kuisha? Wenzio wawili wana kinga ya kutoshitakiwa

    Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao. Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
  5. Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  6. M

    SoC03 Baada ya ahsante kuisha, tuboreshe!

    Ahsante kocha Nabi! Ahsante Bernard Morrison! Ahsante Jonas Mkude! Ahsante Kali Ongala! Ahsante Abdallah Shaibu! Ahsante Erasto Nyoni! Ahsante Cleophace Mkandala! Ahsante Dickson Ambundo! Ahsante Beno Kakolanya! Ahsante Nelson Okwa! Ahsante Agrey Moris! Ahsante Mahamoud Mroville! Ahsante Bruce...
  7. SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora. Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
  8. T

    Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika. Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea. Pointe to remember Aug2023 Mabadiliko ya...
  9. Vilio kutawala kesho baada ya mechi ya Yanga kuisha

    Wamezoea hawataamini macho yao uzi tayari tayari.
  10. Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  11. Kuna kocha anaenda kuachia timu kabla ya msimu kuisha

    Habari zenu.. Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima. Ila kinachoniumiza kumuoana huyu doto anachezewa sharubu kila anapoenda kucheza mpira. Huyu kocha aliyekuja,hana...
  12. Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  13. Ewe dada ulijifanya mtakatifu sana ulipoanza funga yako sasa funga inakaribia kuisha unaanza usumbufu sasa ukae kwa kutulia malipo ni hapa hapa

    Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu. Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
  14. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  15. Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

    Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi 2. Goli kipa Bora 3. Kinda Bora Wa Mashindano 4. Top Assistman 5. Mchezji Bora wa Mashindano...
  16. Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

    Habari ya wakati huu watu wangu wa nguvu..ninatumia kila mmoja wetu yuko salama kabisa..Kwa mlio hospitali basi ninaachilia roho ya uponyaji mkapate kupona mapema(ukiamini utaokolewa) Haya twende kazi.😊 Unajua bhana kwenye maisha kuna watu wanaweza kuja Kwa mara moja na kuondoka pindi lengo...
  17. Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  18. Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

    Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana. Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
  19. Mtandao wa Tigo kinaanza kuisha kifurushi cha leo badala ya cha jana.

    Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo. Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline. Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
  20. A

    Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…