Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watatakiwa kulipia dhamana ya dola za Kimarekani 5000 hadi 15,000 (USD5,000 - 15,000) ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa vibali (VISA) vya biashara au utalii.
Utekelezaji wa Uamuzi huo utaanza rasmi Agosti 20...
GTs,
Kuna methali ya Kiswahili isemayo: “Marehemu hasemwi.” Kwa mtazamo wa utamaduni wetu wa Kiafrika na hususan wa Kitanzania, msemo huu una uzito mkubwa. Kumsema vibaya marehemu ni zaidi ya dharau—ni ishara inayoweza kufasiriwa kuwa ulihusika au ulishiriki katika kifo chake.
Tangu kufariki...
Hallo.
Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy.
Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu...
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir.
Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies).
Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi.
Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi.
Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana
-Huyu muda wowote kinaumana
2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike
-huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini
3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha
4. Daktari anayehusika na wajawazito
5...
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha
Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma
Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Bunge la Kitaifa linaloungwa mkono na serikali ya Venezuela limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo
Hatua ya Venezuela inafuatia ripoti ya karibuni ya ofisi ya Turk kuelezea kuendelea kuzorota kwa haki nchini humo.
Turk...
Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo.
Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda kwenye nyumba za ibada ili kuuficha au kuuhalalisha uovu wao. Na hawa ndiyo mara nyingi wakienda...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye Uelewa wa vitu vinavyo hitajika ili mtu aruhusiwe kuingia Uganda kimasomo, Mfano niliongea na MTU mmoja akasniambia nilazima niwe na passport, kibali cha katibu mkuu utumishi na viza, lakini mtu mwingine akasema...
Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti
Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.
Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.
Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
Baada ya Israel kufanya mashambulizi kwenye mji mkuu wa Tehran na watawasilisha siraha za maangamizi kuisadia kutokana na mapatano waliyofanya awali.
AMbapo IRAN alipeleka teknolojia ya drone za Shaheed, na makombora kumsaidia Urusi vita ya Ukraine.
Alienipa taarifa za ndani kabisa, ni...
Waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti ya taifa amewataka wananchi kuilinda amani na wasikubali mksingi ya taifa ikatikiswa kwani mataifa yaliyofanya mazaha na jambo hilo iliingia kwneye mifarakano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.