kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  2. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao

    Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  4. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
  7. JamiiForums Tanzania Bila tahadhari huu mkanganyiko kuhusu Muungano wetu unaweza kuwa kichocheo cha machafuko

    Kabla ya Muungano mwaka 1964, kulikuwa na nchi mbili zilizojulikana kama Jamhuri ya Tanganyika ikiongozwa na Rais Julius K Nyerere na Jamhuri ya Zanzibar ikiongozwa na Rais Abeid A. Karume, Chama kilichounda serikali ya Tanganyika kilikuwa ni Tanganyika African National Union Party, TANU. Hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    [Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi Rap si...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Tundu Lissu wanazungumza lugha moja kuhusu Muungano na Katiba. Kwanini tumshambulie Lissu na kumwacha Warioba?

    Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha msimamo wa Tundu Lisu ni msimamo wa Jaji Warioba. Matamshi anayotoa Warioba ndiyo anayotoa Tundu Lisu...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Juma Nkamia Kuhusu Uchawa wake wa kinafiki kwa Magufuli Isibezwe

    Shalom, Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose. Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake. Wakati wa hatari kuna namna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Wakuu, Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme. Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kufanya uhakiki wa ardhi

    Habarini wakuu! Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au Wizarani? Kuna mfumo wowote wa kuhakiki mtandaoni? Thanks in advance..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lishe duni bado ni kubwa nchini Tanzania.. wananchi wahimizwe kula chakula cha kutosha na sio kutishwa kuhusu vyakula.

    Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Nabii (Prophet)

    Shalom....! Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...! Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...! Kuna Unabii wa Kimungu nataka ku share na yeye. Kama yupo hapa, anaweza tu kuja in box, tukaongea kama...
  17. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

    Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa . Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
  18. JamiiForums Tanzania Kuhusu mgogoro unaosemekana ulitokea Handeni kati ya Wafanyabiashara na TRA Handeni

    Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Janga la Kitaifa: Watu Waliofeli Kwenye Ndoa Wamejivuka Koti la Ualimu, Wanaelimisha Watu Kuhusu Ndoa ni Hatari Kwa Taifa la Tanzania

    Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
  20. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

    1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…