Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi
Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu.
Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye.
Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...