kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazungu hawajali kuhusu Demokrasia bali maslahi yao

    Wazungu siku zote hawajawahi kujali chochote kuhusu demokrasia bali wanacho jali wao ni usalama wa maslahi yao pekee. https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=1A5TRtPcP5OBMBvIE3lAow&s=19 https://x.com/BBCWorld/status/1866050983748370941?t=EJrShBe7s07doaM7Z4onDA&s=19
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Screen mirroring Television ya LG

    Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550) Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W Serial no : 001EGVJML759 Manufactured January 2020 Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia...
  3. JamiiForums Tanzania Dhana ya "plea bargaining" itoe mwanga Marekani inaweza kufanya nini kuhusu waasi magaidi wa Syria

    Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa muhimu kwa ajili ya kufanikisha lengo kubwa zaidi kwa faida ya mshitakiwa kupungiziwa adhabu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri mnaohubiri kuhusu kumtolea Mungu nijibuni swali hili

    Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa bilionea kwa kutoa pesa zake? Au huyo Mungu ndio ninyi wenyewe?
  5. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mdau, yapi maoni yako ya Jumla kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania wakuu mnisaidie hapa kuhusu uombaji wa ajira ya jeshi la uhamiaji

    nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?. mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
  7. JamiiForums Tanzania Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane update kuhusu ajira za uhamiaji zilizotangzwa hivi karibuni

    Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni. Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia. Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
  9. JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili

    kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  12. JamiiForums Tanzania Fadlu Davids kuhusu Mpanzu: Tutaangalia acheze namba ngapi

    "Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9." "Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

    Wakuu nimefukuzwa kazi Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
  14. JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  15. JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

  17. JamiiForums Tanzania Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  18. JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mengi yamesemwa kuhusu uchaguzi serikali za mitaa lakini upinzani mjitathimini

    Chadema ilipoteza mwelekeo kwenye Njiapanda ya utawala kati ya JK na JPM. Unajua ukitaka kuwa loyal simamia kile unachokiamini mwanzo mwisho hata kama adui akija akaanza kukisimamia unachokiamini ungana nae, akienda tofauti achana nae. Kwanini kwa JK CDM ilikuwa na Nguvu na kwa JPM ikaanza...
  20. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…