Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,153
- 17,568
"Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9."
"Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi ambayo ataonyesha ubora wake zaidi"