Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka.
Soma
Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya..
Mashariki ya Africa ni kwa UK
MASHARIKI YA KATI NO CHIMBO LA USA JE ANACHUKUA NINI PALE TUJIULIZE KUPITIA...
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo.
Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili:
Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema:
Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa...
Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias:
Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March
Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote...
Habari wana JF, ni mda sasa sijapost kitu kuhusu blockchain and cryptocurrency ila leo nikapata idea nikaona nilete uzi mwingine unaoelezea kuhusu blockchain and cryptocurrency. Huenda ukawa unaijua au ushawahi isikia au unaifahamu ila bado kuna vitu vinakuchanganya unashindwa kuvielewa basi...
Kuanzia mwaka 2021, nimepata uzoefu mkubwa katika uongozi na uongozi wa watu kupitia mbinu mbalimbali zisizo za kawaida. Katika kipindi hiki, nimejifunza kuwa uongozi si tu kuhusu mamlaka, bali pia ni kuhusu uwezo wa kuhamasisha na kuungana na watu.
Katika mazingira ya kisasa, ambapo viongozi...
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
Habari za asubuhi wana JF,
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human Resources Management.
Alipohitimu tu;akabahatika kufanya kazi ya muda kwenye ofisi moja ya shirika la...
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30"
Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari
1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30"
2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana...