Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment.

Locked Stakings, Hizi mara nyingi huwa na faida kubwa na risk kubwa. Katika hizi ukichagua plan ya kuwekeza kwa mwaka 1 basi hutaweza kutoa pesa yako mpaka siku 365 zipite.

Mpaka hapa nimeeleza kwa uchache mambo yanayokuwepo katika Crypto Staking.
 
Exchange gani wewe unatumia kufanya iyo staking
 
I have tried staking on exchanges like Binance and OKX, it was very easy with flexible staking because you can withdraw anytime without stress. But locked staking has great benefits but requires patience, I locked my tokens for six months and sometimes it is hard to wait when the market changes quickly.

For those who want to know more about trading on Solana, there are ways to increase the visibility of your tokens on Meteora DEX using tools like meteora volume bot: https://solana-volume.com/meteora/. It is very helpful if you want your token to be visible on trending metrics regularly.
 
Back
Top Bottom