kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu shambulio la Fr. Kitima

    1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule. 2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

    Angalia tweets zake hapa:- Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina. Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter. Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018 Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe...
  6. Investaa

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa ujifunze kuhusu False Prophet!

    Habari wasee. Kwenye kupitapita youtube nimekutana na hii kitu ya False Prophet nikasema nishare na wana wa JF wapate kujifunza namna ya kutambua huu utapeli ambao ndio habari ya town kwa sasa. https://youtu.be/G59pQD4n83s?si=6D68BV_iWmofR6MG
  7. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

    Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
  8. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

    Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment. Locked Stakings, Hizi mara nyingi huwa na faida kubwa na risk kubwa. Katika hizi ukichagua plan ya kuwekeza kwa mwaka 1 basi hutaweza...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kwanini RFA Wanakatisha matangazo kuhusu maoni ya uchaguzi?

    Mjanja M1 leo nilikuwa nasikiliza matangazo ya DW kupitia RFA. Kuna mchambuzi wa siasa alikuwa anaelezea mambo sio yanayofanyika Kwenye chaguzi nchini lakini ghafra bin Vu! RFA wakakatisha matangazo ya DW na kuweka vitu vyengine ilhali muda wa matangazo bado hujaisha. Hii sio mara ya kwanza...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  12. Cambodian

    JamiiForums Tanzania BBC documentary kuhusu maandamano ya Kenya

    Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya . Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja . Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na...
  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu. Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  16. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mwenye update kuhusu nusu final ya kombe la muungano tafadhari

    Wakuu kama mnavyojua Kuna kombe la kukata na shoka huko zenji Sasa update za nusu final naona bodi ya ligi hawatoi naomba kujua inafanyika lini kwa Azam vs KMK na Yanga vs Jku !?
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

    BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
  18. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Karibu tunaanza kuona post za kuhusu Berkane

    Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera . Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba kuhusu Berkane. Niwambie tu nyie topolo kaeni kwa kutulia simba ni timu kubwa haogopi timu yoyote...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  20. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo Wangu Kuhusu No Reform No Election

    Ni mara chache sana huwa naandika kuhusu Siasa,na niweke wazi huu ni mtazamo wangu kama ambavyo nawe unaweza kuwa na mtazamo wako Binafsi naona hii movement ingesubiri kwanza kwasababu moja kubwa,ni hivi majuzi tu Mheshimiwa Tundu Lissu ndio amechukua madaraka ya Uenyekiti wa Chama cha...
Back
Top Bottom