Leo wakiwa wanaelekea kukamilisha episode ya 4 ya maigizo Yao vijana wao wameshindwa kabisa kuanzisha Uzi kwani wanajua nn kinaenda kutokea hasa baada ya deal kwenda sawa na kuwafidia watoza ushuru kile ambacho wangepata tabora
Nasikia amberruty kahoji kama hawajazi kmc complex kwa Kila mechi...
Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma.
Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza...
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.
Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.
Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa...
Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu.
Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu.
Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu
Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,
1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400
2. Nimetumia platform zote za freelancing
3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000
4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu
5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz
6. Nimejifunza skills zaidi ya 20
7...
Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa.
Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito...
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
1. Hii ni video nzima.
2. Video ya awali ilikatwa na wahuni.
3. Si mtoto, ni mtu mzima.
4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
Unaweza Kunisikia Humu Ndani" ni kitabu kinachozungumzia ukweli mzungumzwi kuhusu unyonyaji na hali ya kisiasa na kiuchumi barani Afrika. Kitabu hiki hakina aibu kukufungua macho na kukueleza kile kinachofichwa, kupitia hadithi ambazo zitaacha alama kwenye moyo wako.
Hebu angalia baadhi ya...
Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo.
Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
bashungwa
kesi
kesi ya lissu
kitaifa
kongamano
kubwa
kuhusu
kujadili
lissu
mahakama
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mkuu
mwabukusi
mwaka
mwaka 2025
mzee
mzee warioba
ndani
rais
rais wa tls
serikali
tanzania
tls
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
waziri
Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya.
Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea.
Jana alipatikana amefariki.
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.