kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tufundishane/ tueleweshane kidogo kuhusu timu kubwa barani Africa, hapa ndo tunajifunza na kuelewa

    Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo kuhusu usajili wa kampuni ya Uhandisi

    Wadau wa JamiiForums habari zenu, Mimi Ni graduate engineer kwenye kozi ujenzi barabara na majengo ngazi ya Diploma, hivyo Ninaomba msaada wa kimawazo Kuna contractor ambaye alinisihii nimsajilie mwanae kampuni kutumia cheti changu na ya kwamba atanizingatia katika kazi kama engineer. Naombeni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

    Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi. Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine...
  4. B

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

    10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP Simon Sirro wamefanya mapitio ya taarifa za kiintelejensia zilizokusanywa kuhusu makosa yanayovuka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukio lililonifumbua macho kuhusu changamoto huduma ya dharura katika hospitali zetu

    Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Xi kuhusu ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya COVID-19 zazaa matunda

    Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya. Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu suala la mgawo wa mali za mirathi kwa mjane na watoto kisheria

    hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2. Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hawa wanasheria walioshika kuandikiwa charge ndio ushauri kuhusu mikataba na miswada?

    Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini. Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

    Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa. Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile tunaomba utusaidie kuhusu PAYPAL

    Mh. Ndugulile tunaomba utusaidie kupata huduma ya PAYPAL katika nchi yetu. Tunakukumbusha tu sisi vijana tusio na ajira itatusaidia sana hii huduma.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…