kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kujuzwa kuhusu hali ya Mafuta nchini

    Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi. Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  3. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu Nyumba Za Kupanga Alizosema Mh. Lukuvi

    Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake .. Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa...
  5. JamiiForums Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz

    Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz. Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusu Ethiopia

    IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao. Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St Teresa of avila girls Secondary school

    Habari wana jf, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO. Nimejaribu kutafuta address zao kwenye website nimepata namba ambazo hazitumiki kwa Sasa. Naomba...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
  15. JamiiForums Tanzania Ellen G. White alifariki mnamo Julai 16, 1915 akiwa na umri wa miaka 87 huko Elmshaven, California

    UKWELI WA KUVUTIA KUHUSU MAMA ELLEN G. WHITE: 1. Ellen ni miongoni mwa watu walioamini kwamba Kristo angerudi Oktoba 22, 1844. 2. Mnamo 1846 Ellen aliolewa na mhubiri wa Kiadventista James Springer White, ambaye alikutana naye kwenye safari ya Orrington mnamo 1845. 3. Ellen na James walikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

    Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu, Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi. Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wizara kuhusu Deni la Taifa

    Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo Group 1: Mikopo yote yenye riba...
  19. JamiiForums Tanzania Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

    Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Deni la Taifa kwa awamu kuanzia ya Tatu.

    Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye. -Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD. -Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD -Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD _awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…