kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo. Mchungaji Mwakipesile...
  2. JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamishwa Kuhusu Nyaraka Tano Za NSSF

    Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa certified)!?
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha colonoscopy

    Wakuu habari za weekend. Naomba maelezo kwa huduma ya kipimo cha colonoscopy kama ifuatavyo 1. Hospital gani hutoa huduma hii kwa hapa dar es salaam hosp binafsi au umma 2. Bei zake zikoje 3. Huchukua muda gani kupata majibu. Muwe na weekend njema
  6. JamiiForums Tanzania Natoa hapa ushauri kuhusu misumari ya bati

    ๐Ÿ“Œ ๐”๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ: ๐Ÿ๏ธโƒฃ ๐”๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ฆ๐ข๐ ๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ฆ๐ข๐ฉ๐š๐ง๐š ๐š๐ฎ ๐ฆ๐š๐›๐š๐ญ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ง๐จ ๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ ๐š๐ž, ๐Ÿ‘‰ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐ญ๐ซ๐ž๐๐ข (๐ข๐ง๐š๐ณ๐ฎ๐ข๐š ๐ค๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข). ๐Ÿ๏ธโƒฃ ๐”๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ฆ๐ข๐ ๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ฆ๐ข๐๐จ๐ ๐จ, ๐Ÿ‘‰ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐š๐ซ๐ข ๐ข๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š ๐ญ๐ซ๐ž๐๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐จ๐ค๐ž๐จ ๐›๐จ๐ซ๐š. fundi kupaua 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9 kama unataka mbao Za dawa nipigie...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

    Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara. Tutajifunza kwa kina: 1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu. Jinsi ya kuandaa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

    Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe. Asanteni...
  10. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi?

    Watanzania tuna kesha na kuomba. Ila kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi? I wish..............
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  13. JamiiForums Tanzania Je ukiitoa JamiiForums kuna media yoyote ya ndani imeripoti kuhusu tuzo ya tyrant of the Year?

    Najiuliza kwanini hii tuzo adhimu haijatangazwa na media za ndani? Be it tabloids au tv stations naomba kujua au wameogopa?
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makame: Kuhusu Katiba, maoni yangu nitayapeleka kwenye chama changu, tukajadiliane

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Medani, Abdullah Makame, kada wa CCM amesema
  16. JamiiForums Tanzania Nafurahia magumu anayoyapitia Fella kuhusu afya yake na aliowasaidia kumtenga haswa chama kile

    Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana. Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa. Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya...
  17. JamiiForums Tanzania Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Antigravity: iOS App (Vibe coding)

    Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi program kutoa bugs nyingi kipindi cha nyuma, so muda mwingi unautumia kufix code baadala ya kutengeneza...
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu maridhiano soma hiki kisa kifupi cha mzee Filipo

    Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo.. Alikuwa mrefu, mnene mweusi.. Alitisha sana! Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji kizima na hata uchaguzi ulipokuwa ukifanyika ilikuwa kama danganya toto Tu! Kwani siku chache kabla ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Maandiko yasemavyo kuhusu manabii na mitume wa kweli na uongo

    Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo. Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ