kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu kuhusu wanaosemekana kupotea tangu 29/10/2025

    Kumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025. Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao. Je, nini kifanyike. 1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ? 2: Ndugu watakaojitokeza na...
  2. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  3. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

    Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya. Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gen Z kuhusu viongozi wanapofariki: Hatuhuzunishwi, kazi ya Mungu yatupasa tufurahie

    Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni...
  6. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu chanzo cha vita ya Kagera?

    Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tetesi zimezidi kuhusu Namba 1 na 2 kutokupatana, ukweli upoje?

    Huko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi. ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
  10. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

    Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majibu RC Chalamira kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29

    Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumuelewe Mhe.Rais kuhusu maridhiano

    Mwenyezi Mungu aendelee kusimama na kila mmoja na kusimama na Taifa letu. Ni imani yangu bado kila mmoja anakusudi la kweli katika kudumisha amani, kukuza umoja wa kitaifa na kusimamia misingi ya haki. Katika mengi ,nami nawiwa kutoa mchango wangu wa machache .Kama mtanzania natambua mchango...
  17. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

    Haya ndio madhara ya kuhalalisha mambo ambayo sio halali.
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
Back
Top Bottom