kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu hili? Polisi kasambaza picha za Mtuhumiwa wa Uhalifu mitandaoni

    Huyu Dada ame trend sana mitandaoni kwa kitendo alichokifanya siku kadhaa zilizopita!! Baada ya hilo tukio, taarifa zilisema anapaswa kukamatwa ama aende.mwenyewe kuripoti kituo cha Polisi. Kafika huko nako kapigwa picha na zimesambaa tena mitandaoni. Je hii kisheria haiwez kumsaidia kufungua...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii ndoto

    Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote , Baada ya kuoa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ndugai kuhusu mikopo ya serikali inapiga king'ora cha tahadhari kwa taifa

    Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria ambayo haikuwahi kuwepo duniani na Mbinguni ili kukusanya mapato...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Alistair Group

    Habari zenu wakubwa na wadogo Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo...
  6. JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu bati G30 hasa kwa mazingira ya pwani?

    Wakuu nimeona kuna gap la kama milioni moja kwa bei ya G30 na G28, je bati G30 haina shida?
  7. JamiiForums Tanzania Kama mke ndiyo kikwazo cha kufikia matarajio, utaachana naye kama utakavyofanya kwa watu wengine wa karibu?

    Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya. Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakula Kasa licha ya wengine kufa kwa sumu waliyonayo?

    Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani .. Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye...
  9. JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

    Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH! Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Chama kipo kimya kuhusu Nape

    Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao 1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather 2. Kusema chama kina wenyewe Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama. Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  17. JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

    Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu watanzania

    Kuna mambo katika jamii yetu ya kitanzania huwa yananishangaza sana, baadhi ya mambo hayo ni haya: 1.Mtu anakwambia hafuatilii siasa, ila ukifika wakati wa uchaguzi, anaenda kupiga kura! 2.Miaka 60 ya uhuru bado tunakimbiza mwenge! 3.Mtu(mimi mwenyewe nikiwemo), ana bachelor, masters, PhD au...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

    Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…