kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

    Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi. Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu NMB

    Habari. Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale. Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata. Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  4. JamiiForums Tanzania Karibuni tujadli kuhusu zabuni

    Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha tofauti kama vile INVITATION TO TENDER,EXPRESSION OF INTERESTS,REQUEST FOR PROPOSAL,REQUEST FOR...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka. Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu. Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  7. JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Unafahamu nini kuhusu Patent (Hati miliki)?

    Leo naona nilite mada Chokonozi; Wengi tumewahi sikia maneno kama Copyright, Trademark patent na mengine kama hayo. Wengine tunayasoma tu tukifikiri na vibwagizo lakini kuna wengine wanayatumia katika kuhakikisha kwamba wanaweka rekodi sawa na zaidi wanazitumia kufanikiwa katika Biashara. Kuna...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu hii program ya Continuous Professional Development (CPD) ya 2020

    Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuwajuza ndugu zangu kuhusu Norway

    Ni miezi imepita kidogo toka niwe nawajuza kuhusu Norway, hii ni kutokana na nilikuwa nasoma short course ya mambo ya Ship Surveying, nashukuru nimemaliza. Kazi za bandari ndio nyingi huku, hivyo ilinibidi kujiongeza ili kujiweka sehemu nzuri zaidi na sio kila mara kuwa kibarua. Japo najua...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  13. JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu wawili hawa?

    Hapa ni Mh. Nape alipomtembelea Mh. Mwandosya nyumbani kwake na kupewa zawadi ya kitabu!
  14. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

    Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotaka kutapeliwa kwenye Crypto-Currency: Chukua Tahadhari, itakusaidia

    Wakuu, Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli niliokumbana nao kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisera kuhusu watu wenye ulemavu

    Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu, hawaoni n.k? Katika misingi ya distribitive justice serikali kote duniani hukusanya kodi na kuzitawanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  18. JamiiForums Tanzania Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu namba 666 (Nero Caesar)

    Wapenzi wasomaji wangu leo ninaendelea na kufumbua macho watu. Mwenye macho haambiwi tanzama, na mwenye akili zake ataweza kung'amua na kuelewa ukweli wa mambo. Leo katika bandiko langu hili nitajikita kuongelea suala la alama ya 666 kama ilivyoandikwa katika kitabu cha ufunuo 13:18 Hapa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…