kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu hawayaelewi kuhusu Mungu

    Kwema Wakuu! Mods naomba Uzi huu msiupeleke jukwaa la dini, huu ni mjadala mfupi kuhusu MUNGU. Kwanza kabisa neno "Mungu" ni Cheo na wala sio personal Name Kama wengi wadhaniavyo. Ni Kama vile useme, Rais, Mama, Baba, Mfalme N.k. hivyo watu wanapotaja Mungu wasidhani wamemtaja mhusika Fulani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19. Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi! Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Story za Masau Bwire kuhusu uchawi wa taifa stars

    By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila kujishughulisha no ni vigumu kumshinda mpinzani. Imefikia hatua katika klabu za soka uwezo wa wachezaji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  5. JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge amkumbusha Nape majukumu , Kuhusu Bundle

    Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini tunafunga GPS trackers kwenye Magari?

    Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari.... Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako. 1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari lako? 2. Au unahitaji tracker ya kukupa update ya location gari lako likiibiwa? Kuna utofauti...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

    Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali haijali kuhusu vitu vya kihistoria, inakuwa na maana gani Royal Tour?

    Royal Tour imeonesha mbuga, mlima na bahari lakini kuna vitu vingi vya kihistoria ikiwemo mifupa ya mijusi mikubwa, unyayo wa mtu wa kale, na mambo mengine ambayo ni muhimu sana kwa tafiti sio tu kwa watalii ambapo hela ambayo tungeweza kuipata ni kubwa zaidi kuliko inayopatikana kwenye utalii...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
  12. JamiiForums Tanzania Point zangu 4 kuhusu Web3 zinaweza kukufanya usi-ione vile unavyoiona sasa

    Hello bosses..... Kwanza niseme tu mimi ni tech enthuasist, napenda tech zaidi ya kitu chcht duniani hapa. lkn sipendi kuona watu wanashabikia hizi technology trends hadi wakazidiwa na kuacha reality coz tech sio ushabiki. Kuna swala la Web3, ndg yetu fln humu aliwahi kuandika uzi akiisifia...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu upotevu wa Id na loss report

    Morning, Wakuu nimepoteza vitambulisho vyangu vya benki na NIDA, kwa upande wake benki,je inatakiwa nianzie polisi au niende bank kwanza labda Kuna karatasi watanipa yakwendanayo polisi!? Na je kwa NIDA hadi nije kupata kitambulisho kingine siitachukua miaka, maana naona Kuna watu Hadi leo...
  16. JamiiForums Tanzania Historia iliyofichwa kuhusu gereza la Alcatraz, lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.

    Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San Francisco, kuanzia miaka ya 1930 hadi 1960, Gereza la Shirikisho la Alcatraz lilihifadhiwa kwa ajili...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu register.

    Habari wadau. Hii njia ya posta ya kutuma barua kwa register inachukua muda gani barua kufika mahali husika. Mwenye uzoefu anijuze!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  19. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanavyosindwa kumwelewa "prof" Kishimba kuhusu elimu

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Kishimba na nimegundua mzee huyu anaongea mambo makubwa sana ambayo vyuo vyenye wataalamu wenye uelewa wangemtunuku mbunge huyu mwenye elimu ya darasa la saba uprofesa. Mzee Kishimba anasema tuweke malengo ili elimu yetu iwe hivi mtoto akimaliza kidato cha...
  20. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…