kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU WAHESHIMIWE: Kila anayeilaumu serikali kuhusu nyongeza ya mshahara anabambikizwa kuwa mwalimu, tabia hii ikome!

    Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki. Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi atoa ufafanuzi jimboni kuhusu mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja na namna atakavyohesabiwa

    *📸DKT. SAMIZI ATOA UFAFANUZI JIMBONI KUHUSU MWANAUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA NA NAMNA ATAKAVYOHESABIWA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi akitoa elimu ya Sensa kwa Wananchi wake Jimboni Muhambwe. Kwenye ziara hii, Dkt. Samizi ameendelea na ziara yake...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhusu nyongeza ya mshahara

    Ni hivi nyongeza ya mshahara kwa 23.3% inaanza kwa watumishi wa Umma wenye kima cha chini 300,000.. so approximately mtu huyo anapokea 70,000 extra!! Hizo asilimia zinakuwa zinapungua kadri mshahara unavyopanda!! The purpose is kulinda gap kwa wafanyakazi lisiwe kubwa. Hivyo basi hii...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina kuhusu suala la nyongeza ya mshahara

    Mwalimu Ester Shayo Moshi 22.07.2022 Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3% Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

    Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati muafaka sasa wa Jamii kuelewa ukweli kuhusu Ndoa

    Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na tusipochukua hatua basi ni milele!! Pamoja na kwamba naandika makala hii katika mashindano lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Nakupongeza Hussein Bashe kwa uamuzi wako kuhusu kuuza vyakula nje

    Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu. Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki...
  8. JamiiForums Tanzania Shafii Dauda Amjibu Jemedari, Kuhusu Rais wa Yanga

    #DAUDA_KAMJIBU_JEMEDARI Shaffih Dauda kamjibu Jemedari Said kuhusu alichomkosoa Rais wa Yanga. "Sidhani kama kuna shida yoyote kwa Rais wa Yanga kupiga picha na mchezaji wake au kufanya nae mazoezi,, Guys tunaishi kwenye Dunia gani ? Kuna jambo gani la ajabu ?" "Rais Florentino Perez wa Real...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania kuhusu ugawaji wa majiko ya Gesi Kanda ya Ziwa

    Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa Mirisho Kitomari Umesema Kaya masikin je iyo gesi ikiisha atapata wp pesa yakujaza Tena gesi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kodi

    Habari za leo waungwana Naombeni kufahamishwa kuhusu Utaratubu wa Leseni ya biashara mpya. Hasa kwa mimi ambaye tayari nina TIN ambayo ni nonbussiness. Pia makadirio ya kodi kwa biashara ya mtaji chini ya million 3. Pia nitafurahi kama mtaigusia concept ya EFD machine , inatumiwa na aina gani...
  12. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu mdogo kuhusu uchambuzi wa Lipumba kwa Rais Samia

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia 75 ya utekelezaji. Kwa ufupi Lipumba amechambua mambo kadhaa katika uongozi wa Rais Samia na...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ukweli kuhusu mazingira ya Shule ya msingi Litingi, jimbo la Mtama

    Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama. Ukweli upoje? Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...
  15. JamiiForums Tanzania Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

    Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,, 1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu? 2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme nikiweka itakatwa? 3/ Vipi kuhusu meter kuu kama wenzangu hawajaingiza umeme na tuko giza mimi wangu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?

    picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me). Yote yanaweza kuwa majibu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

    Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo. Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic” Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu haki za mtoa taarifa ya uhalifu

    Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa kuwa fulani yupo hivi na vile ndiye aliyetoa taarifa hizi kuwa wewe fulani ni mhalifu. Je, mtoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…