Tuheshimu dini za wenzetu

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Ni hivi, katika maisha huwezi kuisemea dini ya mwenzio anayoiamini siyo dini ili hali maisha yenyewe ndio haya.

Mimi nimezaliwa katika Ukristo na ninamuamini Mungu na nivyoaminishwa kuviamini. Leo hii aje Muislamu aniambie nilipo hakunifai, huyu mtu nitamshangaa. Nimepokea Sakramenti ya chakula cha Bwana, nilibatizwa, niliwekewa ishara ya msalaba kuonyesha Ukristo.

Ni ngumu sana kumhukumu mtu na dini yake, wewe siyo Mungu wake, muache akujue huko hatima yake. Wote sisi ni Watanzania, udini na ukabila siyo tija yetu kugombana, tuishi kwa umoja.

Japo Waislamu wanafundishwa misikitini kuwa sisi ni watu wa ajabu sana, sisi ni makafiri kwa hiyo waishi na sisi kiakili, huo siyo ukweli. Jaribuni kutoa machafu katika mioyo yenu, muwe na mioyo misafi kuhusu wanadamu wenzio.

Siku njema, angalieni hiyo video.

Tatizo la Waislamu dini yao ni ya mashindano. Uislamu ungekuwa dini nzuri sana kama wasingeiga kutoka uyahudi na ukristo. Ingekuwa kivyake vyake huko Hindu na Buddha ingependeza. Ni rahis mkristo kubadili kuwa muislamu. Lakini ni ngumu muislamu kubadili kuwa mkristo kwasababu ya vitisho vya kuuawawa. Na wale wanaobadili kutoka uislam kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Cheki huyo binti wa Kisomali aliyemkubali Yesu licha ya usalama wa maisha yake.

Covax Accumen Mo Kikwajuni One battawi
 
Ukishindwa kutumia akili yako kwenye kufikiri, utafanya kila unachoaminishwa.

Kama hakimake sense achana nacho. Ila kosa kubwa ni kuamini kila kitu kina make sense.

Dini sahivi ni ukoloni mpya wa fikra. Wengi hawajagundua hilo.
 
Tatizo la Waislamu dini yao ni ya mashindano. Uislamu ungekuwa dini nzuri sana kama wasingeiga kutoka uyahudi na ukristo. Ingekuwa kivyake vyake huko Hindu na Buddha ingependeza. Ni rahis mkristo kubadili kuwa muislamu. Lakini ni ngumu muislamu kubadili kuwa mkristo kwasababu ya vitisho vya kuuawawa. Na wale wanaobadili kutoka uislam kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Cheki huyo binti wa Kisomali aliyemkubali Yesu licha ya usalama wa maisha yake.

Covax Accumen Mo Kikwajuni One battawi

Hujiamini mpaka utaje uislamu ...Hizo documentary zipo kibao
 
Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
 
Tatizo la Waislamu dini yao ni ya mashindano. Uislamu ungekuwa dini nzuri sana kama wasingeiga kutoka uyahudi na ukristo. Ingekuwa kivyake vyake huko Hindu na Buddha ingependeza. Ni rahis mkristo kubadili kuwa muislamu. Lakini ni ngumu muislamu kubadili kuwa mkristo kwasababu ya vitisho vya kuuawawa. Na wale wanaobadili kutoka uislam kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Cheki huyo binti wa Kisomali aliyemkubali Yesu licha ya usalama wa maisha yake.

Covax Accumen Mo Kikwajuni One battawi

Nikweli mkuu kabisaa umeongea
 
Sasa mbona hao wakristo wenzako ndio vinara wa kuanzisha mada za kukejeri na kueneza chuki dhidi ya waislam ndani ya jf?

Waislam wana mtazamo hasi dhidi yenu kwa sababu na nyinyi mmetunza chuki kubwa dhidi yao mioni mwenu tena chuki za kijinga na zisizo na sababu.

Yaani unataka upendwe na mtu unaye mchukia?

Mfano mzuri ni mada za kuwashambulia waislam zinazo anzishwa humu kila siku, hata ww umeanzisha hii mada lengo lako ni waislam washambuliwe na kutukanwa ili moyo wako usuuzike.
Hili tu linaonesha ni namna gani mlivyo na chuki dhidi ya waislam.
 
Unauwakika au unaongea ilimradi utoe lawama acha dhambi za kujiletea aisee na sipendi kuongea sana .
Sipo kwenye mood
 
Fuatilia Nan Wana chokochoko mara wachome qur an mara ivi watake kubadili qur an ..A lot of efforts are allocated to undermine Islamic why so? ...we will fight to the last cell☝️

Kuna vijana wenu wanafanya kejeli Kuna yule max Simba na yule mkenya 254 sijui ila hawanaga hoja .

Sisi ni wastaarabu sana hatuna noma nyie ndo mnaanza chokochoko kama mnajielewa mwambie admin ya JamiiForums kufuta nyuzi zote uli tuishi kweny uhalisia .

Mleta mda uko sahihi!! Eti jaribu kufuatilia wapi Wana nyuzi nyingi za kukejeli.
 
Sisi huwaga hatuleti walioslimu ni wengi sana kwa vile tunajiamini ...nyie hamjiamini kabisa
Kwanini sasa mnatusha kuua wanamkubali Mungu Yesu. Kwanini hamruhusu sasa Yesu ahubiriwe muone. THEY ARE CALLED ONE IN A BILLION.

JESUS FIRST JESUS FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP

JESUS IS GOD ( YESU NI MUNGU)
 
Ila vyote viwili sio kweli!! Ukristu ni uzungu na Uislamu ni uarabu. Sasa tafuta dini yako ya asili yenye uhalisia wako. Mababu zako ndio kiunganisho na Muumba wa kweli. Naamini hakuna Muumba wa kweli anaemtoa mwanae kafara!
 
Unauwakika au unaongea ilimradi utoe lawama acha dhambi za kujiletea aisee na sipendi kuongea sana .
Sipo kwenye mood
Kwa hiyo mada za kuwashambulia na kuwakejeri waislam huwa huzioni humu au ni unafiki umekujaa?

Hivi sasa hivi inaweza kupita hata siku moja bila kuanzishwa mada ya kuwatukana waislam humu?

Ni nadira sana kukuta muislam kaanzisha mada ya kuongelea ukristo, lakini wakristo kila siku huwa ni vinala wa mada za kuikejeri uislamu sasa kama sio uchokozi ni nini?

Hata kwenye uzi wako tiyari watu wameshaanza kuwakejeri waislam na hili ndo lilikuwa lengo lako.
 
W
Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
Watakuuliza uliwahi kufa ukakutana na hayp maswali . ilishasemwa wao wana dini yao nasi tuns yetu hvyo kazi kwetu kuchagua njia ipi inafaa.
Namshukuru sana Allah kwa kuniongoza ktk uislamu
 
Kwa hiyo mada za kuwashambulia na kuwakejeri waislam huwa huzioni humu au ni unafiki umekujaa?

Hivi sasa hivi inaweza kupita hata siku moja bila kuanzishwa mada ya kuwatukana waislam humu?

Ni nadira sana kukuta muislam kaanzisha mada ya kuongelea ukristo, lakini wakristo kila siku huwa ni vinala wa mada za kuikejeri uislamu sasa kama sio uchokozi ni nini?

Hata kwenye uzi wako tiyari watu wameshaanza kuwakejeri waislam na hili ndo lilikuwa lengo lako.
Na lengo limetimia, mimi hua najiuliza hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za hvi nani atazifuta wakitangulia mbele ya haki.
Ni mtihani mno
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
Uthibitisho wa maelezo Yako ni upi. Kwani ni binadamu tu ndiye anayekufa. Unapokula wanyama unategemea na yeye mnyama aende peponi au motoni. Kwani Dunia ni Kwa ajili ya wanadamu au viumbe wote
 
Back
Top Bottom