kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  2. Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  3. R

    Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo . Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
  4. T

    SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  5. Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  6. M

    Tupaze sauti kuhusu udhaifu wa mfumo wa E-Filling TRA

    Mfumo wa Effiling kwa sasa ndio unatumika kwa ajili ya walipa kodi kujaza na kutuma Return zao kwa kipindi cha tangu March mwaka huu mfumo huu umekuwa na shida kubwa, Ukiingia kwenye mfumo unakuwa loged out, kuna return unatuma zinakuwa rejected, unatuma return mara kibao ndio zikubali, mtandao...
  7. K

    Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000. Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo? Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama? Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu? Pia kwa yoyote mwenye...
  8. Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  9. Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
  10. Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

    Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
  11. N

    Clouds FM wanaongea muda huu kuhusu Super League

    kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa? Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza? Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola.. Tanzania nchi hairuhusiwi kutoa zaidi ya teams 3. Hao wacongo wako zone ya central and west africa
  12. Kenya2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

    Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis. Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya. Hatuna la kujifunza hapo!! SAD BUT TRUTH
  13. Ripoti ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuhusu maboresho ya elimu ya Tanzania

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar. TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi mbalimbali yakiwemo Baraza la Watoto Tanzania, viongozi wa dini...
  14. Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  15. TET: 60% Watoto wenye changamoto ya kufaulu darasani wana tatizo la uoni hafifu

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
  16. M

    Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  17. Tanzania tunajifunza nini kuhusu uchaguzi wa Kenya? Tubadilike

    Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10. Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na...
  18. R

    Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  19. Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

    Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
  20. Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…