Habari wadau.
Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie,
Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa!
Niliitwa kituoni jana jioni kufika pale hapo katikati wakaniweka lokapu.
Kweli wanawake wote wa sasa hivi ni wazuri...