kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
  2. JamiiForums Tanzania TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
  3. JamiiForums Tanzania CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA SEHEMU YA NNE (4) mr.georgefrancis21@gmail.com Ni siku nyingine tena tunakutana katika muendelezo wa mada yetu ambapo hapa tunapata elimu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kama kichwa cha somo kinavyoeleza. Sasa bila...
  5. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu kuajiriwa?

    Wandugu hii thread Ni kwaajili yakupea uzoefu kuhusu kuajiriwa kwa ambao mshawahi kuajiriwa Karibuni Wana Jf
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  7. JamiiForums Tanzania Makosa ya Rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa Sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA. SEHEMU YA KWANZA (01) Mr. George Francis Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema, “Kwa hivyo, tukatengeneza sheria ili tuwafundishe watu hawa kwamba jambo hili hatulipendi...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  9. JamiiForums Tanzania JKT yafafanua kuhusu vijana 147 waliokutwa na VVU

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesikitishwa na taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba vijana wake 147 wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kuambatanishwa na picha za vijana wengine wanaohudhuria mafunzo ya JKT makambini. Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kwa kipindi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kujifunza Kuhusu Soka kutoka Senegal

    Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:- 1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika, 2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani, 3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika, 4. Sadio Mane...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

    Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi. Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola. Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili...
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  13. JamiiForums Tanzania Makala inayoonesha uzuri wa Tanzania

  14. JamiiForums Tanzania Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

    .
  15. JamiiForums Tanzania Tusichokijua kuhusu Starlink

    Habari, Watu wengi hapa Tanzania tunasubiri kwa hamu ujio wa Starlink ila ni wachache wanaojua matumizi yake ni yakoje pamoja na bei zake. Ningependa kuzungumzia zaid vitu ambavyo tushavijua kupitia watumiaji wa Nigeria, Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  17. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  18. JamiiForums Tanzania Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai kuanza kuzichunguza TAKUKURU, DCEA, Polisi, Magereza na Mahakama kesho

    Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…