Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,682
11,129
Inasemekana sababu za kuzama ni upangaji mbovu wa makontena

--

A Tanzanian cargo ship has on Tuesday January 24, sank in a jetty in the southern Iranian port of Assaluyeh, Iranian state media has reported.

The official IRNA news agency said the vessel named Anil overturned because containers on it were configured incorrectly at the port’s dock No. 9.

The port has more than two dozen piers.

IRNA said rescue teams transferred the ship’s crew to safety. It did not elaborate.

The ship which is owned by Caspian Gas since 2012 was built in 1989 and was previously owned by Red Dragon.

According to Vessel finder the 34-year old vessel arrived at Assaluyeh Port on Monday evening at 20:43Hrs.

Tanzanian authorities are yet to comment on the accident.

The port is the main hub for shipment of gas and petrochemicals produced in Iran and is located about 940 kilometers (580 miles) south of the capital Tehran.

Iran’s imports and exports have slowed due to banking and oil sanctions imposed by the U.S.

Source: Tanzanian cargo ship sinks in Iranian port
 
Kuhusu Meli huko baharini karibu Meli nyingi zinatumia usajiri na Bendera yetu pana miaka nilikua nakutana na Meli za Korea Kaskazini zina Bendera ya Tanzania nakumbuka walipigwa stop miaka michache nyuma...Meli inaweza ikasajiriwa Nchi yeyote ili mradi Sera zao ziwe zinaendana...kutokana na uhasama wa mizozo wanaamua kuficha password...
 
Inasemekana
imezama ikiwa bandarini Assalhuluyeh chanzo kikiwa no makontena kupangwa vibaya.

Kama 75% ya Wafanyakazi wa Kitengo cha Makontena muda Wote unawakuta Wamelewa ( Wamegambeka ) Chakari katika Baa za Kurasini huku Wengine wakipishana katika Magesti na Maloji eneo Jirani huo muda wa Kupanga vyema na Kiuweledi haya ( hayo ) Makontena utoke wapi?
 
Back
Top Bottom